euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Hakuna kata wala tarafa ambayo haipo kwenye systemWakuu naomba kuuliza"
Je wale ambao Kata zao,,tarafa zao na mitaa yao haipo kwenye option zilizoainishwa kwenye tovuti unafanyaje!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kata wala tarafa ambayo haipo kwenye systemWakuu naomba kuuliza"
Je wale ambao Kata zao,,tarafa zao na mitaa yao haipo kwenye option zilizoainishwa kwenye tovuti unafanyaje!?
Kisicho riziki hakilikiJamani mm hii siku ya tatu nahangaika usiku na mchana kutumiwa password kwenye email yangu lakini nimeambulia patupu sijui kwa kuwa nipo moshi alikotoka mbowe maana sipati form yakupakuwa wala password kwenye email
Nipe mwongozo na mbinu za kutoboa mkuu dah [emoji22]Kisicho riziki hakiliki
Mkuu Mkaruka yaani humu kuna aina ya watu ambao wapo kwa ajili ya kuwakatisha watu tamaa, sasa mleta uzi anataka watu wachangamkie fursa za kazi ya sensa, wengine wanaanza kuleta utani kwenye mambo ya msingi!!Ukisoma hii comment yako unagundua watu wengi humu mna matatizo ya AKILI.
HhhhhhhhJamani mm hii siku ya tatu nahangaika usiku na mchana kutumiwa password kwenye email yangu lakini nimeambulia patupu sijui kwa kuwa nipo moshi alikotoka mbowe maana sipati form yakupakuwa wala password kwenye email
Kwann asiwe mdhamini Kwan Kuna vigezo vya wadhamini wameweka mi mwenyewe nimemuweka mke wangu na mama yangu....!!!!Bro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.
Rafiki/ndugu hawezi kuwa mdhamini wako.
Kama ni picha ibadilishe kuwa katika PDF file...namaanisha uiscan!Heb sadia hapa
Niki upload vyeti inakataa itakuwa shida ni nn
Inaandikia no file selected
Acha umatako wa kujifanya unajua vitu...mm npo iringa Tena jikoni na hakuna semina Wala nn acheni hzo jamanWatu wameshaenda kwenye semina tokea jana. Kuna chalii nipo nae kitaa kaondoka jana kwenda kwenye semina Iringa. Hilo tangazo ni geresha tu
Amenikera Sana huyu faraUkisoma hii comment yako unagundua watu wengi humu mna matatizo ya AKILI.
Mimi ilinipata nikawapigia simu wakanitajia password yangu,piga simu japo kuwapata itabidi uwe mvumilivu maana muda mwingi simu zao zipo bizeTuko wengi... Sijui solution tunaipataje
Anatakiwa kuchezeshaToka na clear byo browser unayotumia then ingia tena uanze mwanzo
N.B Hakuna kitu rahisi hapa dunian
Mimi ilinipata nikawapigia simu wakanitajia password yangu,piga simu japo kuwapata itabidi uwe mvumilivu maana muda mwingi simu zao zipo bize
Inabd kupga tu zile namba zao mpk uwapate wakusalimieJamani mm hii siku ya tatu nahangaika usiku na mchana kutumiwa password kwenye email yangu lakini nimeambulia patupu sijui kwa kuwa nipo moshi alikotoka mbowe maana sipati form yakupakuwa wala password kwenye email
Ww ndo hujui...refresh browserUsibishe usichokijua
Kuwa shortlisted ni ishu nyingine na kutuma maombi mapema ni kitu kingne bt hauwez kuwa shortlisted kama hujatuma maombi .Jamani iv kuhesabika kua ume tuma maombi mapema(short listed) nipale unapo tumiwa usaname na password au unapo upload fom namba moja?
Mimi najaza wee nikifika halmashauri sioni zikijitokeza,nakosea wapi?Hakuna kata wala tarafa ambayo haipo kwenye system
Sasa jikoni unafanya nini?pika basiAcha umatako wa kujifanya unajua vitu...mm npo iringa Tena jikoni na hakuna semina Wala nn acheni hzo jaman