Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hiyo kila aina vyeti haisaidiiiii ,kinachotakiwa ni kidato cha nne tu,nyingine ni mbwembweMimi labda niwashauri ndugu zangu, kama unauwezo wa kupata makazi ya kujistiri kidogo Vijijini huko mbali basi kaombe huko vijijini. Huku mijini watu wanakila aina ya vyeti so ushindani lazima uwe mkubwa.
Wamefanya Block unknown call0678467663 Customer care wa takwimu hii namba nimebonyeza auto redial imepigwa kwanzia saa nne mpaka mda huu inatumika tu huu ni uongo haiwezekani nikaloose chance zote zaidi ya 1000 nilizopiga na je inamana anaongea tu mda wote bila kukata simu ili ahudumie na wengine au atatue matatizo kama ya kuresend password kwenye email nakadhalika. Acheni uhuni wa kipumbavu kama hamtaki tupate kazi kwann mmetangaza sasa.
Sasa kwann wameiweka mtandaoniWamefanya Block unknown call
Weka pdf nduguNaomba ufafanuzi...!! Je vyeti lazima viwekwe kwenye mfumo wa pdf au hata mfumo wa picha tu unafaa?
Hello!Nishamaliza bdo wao tuView attachment 2220938
Yah ata bada ya kutuma form no1 unaweza update viambatanishoHello!
Hivyo viambatanisho vingine umeongeza baada ya kuwa ulikamilisha tayari au vipi? maana mimi pia nina changamoto hiyo
Utafungwa kijana [emoji23][emoji23]Namshumuru sir god nimeshatuma maombi yang now nasubiri tu nikawe Ngoswe Rasmi huko kijijn kwetu bt this time akina ngoswe tunaenda kuhonga vishkwambi
[emoji120][emoji120][emoji120]Yah ata bada ya kutuma form no1 unaweza update viambatanisho
Kama hukuambatanisha mwanzo kabisa wakati unajaza taarifa huwez kukiambatanisha tena[emoji120][emoji120][emoji120]
Naomba unipe mwongozo hapo nafanyaje mkuu?
Daaah!!! sasa hiyo ku-update viambatanisho ni kwa upande upi?Kama hukuambatanisha mwanzo kabisa wakati unajaza taarifa huwez kukiambatanisha tena
Sasa kama unajua wapo huku kwanini unauliza, jiongeze kimya kimyaUjue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhana
Kwa wale ambao walivijaza wakati wanajaza taarifa ila kwa bahati mbaya wakakosea,mfano akaweka kiambata mahali ambapo si pakeDaaah!!! sasa hiyo ku-update viambatanisho ni kwa upande upi?
Mimi ilinipata nikawapigia simu wakanitajia password yangu,piga simu japo kuwapata itabidi uwe mvumilivu maana muda mwingi simu zao zipo bize
Kwani shida iko wapi, dole gumba weka Lako hata kama namba sio zakwao kwani kule wanajua???? Vijana vpEti wadau ukikosea upande wa wadhamini ndio imetoka hakuna kuedit?
Mtandao ulikuwa unasumbua nikampa mtu anijazie usiku. Kaniwekea wadhamini walio mbali, wakati nilimpa majina mapya abadilishe. Hata hao aliowaweka namba zao za simu kachanganya.
Kisicho riziki hakiliki.