Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mna roho mbaya sana haiwezekani mkeka wetu jobless tupo wanaume wawili wote ni watumishi tena wanawake ni wengi

Lazima tuwagongee wake na dada zenu tutatengeneza mazingira kipindi cha semina [emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu vipi umetoboa
 
Sorry wakuu kwa wataalam wa haya Mambo ya semina za kiserikali naomba kuulizia swala la dressing code linazingatiwa? ni lazima tuvae official as official au hata mtu akivaa t-shirt na jeans inaruhusuwa na sandals. Maana sitaki kupoteza kwa namna yoyote ile jinsi nilivosota.
 
Zingatia unadhifu tu. Mfano umepiga jinz yako safi na shart safi na kakiatu Kako mfano raba,safi kabisa. Sio unaenda umevaa katambuga nguo zisizonyooshwa
 
..
IMG-20220730-WA0063.jpg
 
Nimejichanganya vipi? Usaili tulikua 566, baada ya usaili Mkeka ukatoka na watu 200+, tarehe 29 usiku wakabandika mwingine, wengine wameondolewa, kuna watu walikosa mwanzo ila wakaonekana wamepata. Idadi imepungua hasi 160+
Uko Sawa mkuu, kata jirani na yako(Kalangalala) pia imepunguza wanasemina kutoka 160 wa awali Hadi 109.
 
Wewe unafikiri hapa kosa ni la nani, la alietoa tangazo la maombi au la alie omba?

Nchi hii ina watu wa hovyo sana. Mtu analalama kumlaumu sijui mtumishi et kamzibia riziki jobles na wakati tangazo halikubagua nani aombe nani asiombe.

Kama lengo lao ilikuwa kuwapa mitaji majobless kwa nini hawakuliweka hilo sawa mapema ili watumishi wasiombe. Hapo ndo tungeshangaa watumishi kujichanganya na mdundo usiowafaa.

Na vilevile mfumo wao wa maombi ulionyesha kabisa nani mtumishi na nani si mtumishi, kwa nini hawakuweza kuwaondoa juu kwa juu endapo tangazo walilitoa ki makosa!!

Wote mnaolalamikia watumishi kuwapora nafasi zenu ni mazuzu na hamjitambui

No wounder sisiem itatawala milele na naomba ile hivyo 😆😆😆
 
Back
Top Bottom