Kwahyo kuonyesha huruma yangu na kuwatetea hawa vijana jobless ni mpaka niwe nimeomba nimekatwa? Nimeshindwa kuielewa hii komenti yako
Yaani mtu akitoa maoni Mnapenda ku assume tu mwanamke akitetea single Maza ataitwa single Maza ukiwa against lazima mtumie personal attack ..grow up na bado naona emoji za kucheka japo ni inaleta ukakasi mwanaume kucheka cheka unazitumia kipi kinafurahisha mkuu embu tuambie tucheke wote humu ndani ?
Sio kama mimi ni msaliti hapana najua nilipotoka watumishi tumezidi tamaa siku mkiwa na vijana jobless mtaelewa namaanisha nini