Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatafidia ndo imepita ivyo...!Hiv hiz siku mbili hesabu zake itakuaje???
Ukisoma taarifa yao unaweza gundua kitu kwa hizi siku 2 walizoahirisha. Wamesema baada ya semina kuisha kutakuwa na siku 2 za kuyatembelea/kukagua maeneo/mipaka ya kuhesabia, hii inamaanisha posho ya hizi siku 2 huenda wanaihamishia hapo. Nadhani mwanzo hawakuwa wameziratibu vizuri hizo siku waka gundua kwamba zingeleta malalamiko.Hiv hiz siku mbili hesabu zake itakuaje???
Asante kwa ramliUkisoma taarifa yao unaweza gundua kitu kwa hizi siku 2 walizoahirisha. Wamesema baada ya semina kuisha kutakuwa na siku 2 za kuyatembelea/kukagua maeneo/mipaka ya kuhesabia, hii inamaanisha posho ya hizi siku 2 huenda wanaihamishia hapo. Nadhani mwanzo hawakuwa wameziratibu vizuri hizo siku waka gundua kwamba zingeleta malalamiko.
Chanzo: hisia zangu mwenyewe.
uko sahihi kabisaaaUkisoma taarifa yao unaweza gundua kitu kwa hizi siku 2 walizoahirisha. Wamesema baada ya semina kuisha kutakuwa na siku 2 za kuyatembelea/kukagua maeneo/mipaka ya kuhesabia, hii inamaanisha posho ya hizi siku 2 huenda wanaihamishia hapo. Nadhani mwanzo hawakuwa wameziratibu vizuri hizo siku waka gundua kwamba zingeleta malalamiko.
Chanzo: hisia zangu mwenyewe.
Temeke na mpanda tayariMajina ya waliofaulu Usaili tayari yametoka kwa nchi nzima na halmashauri zote na kata zake tayari.
Unaweza download hapa kisha kuangalia jina lako!
Nimeshasema hapo juu, fuata link hiyoTemeke na mpanda tayari
mkuu ni swali au taarifa?Temeke na mpanda tayari
Swali ..! Yeye si kasema nchi nzima tayarimkuu ni swali au taarifa?
Mkeka wa Temeke bado haujatokaSwali ..! Yeye si kasema nchi nzima tayari
Ila nimecheka 🤣🤣Sisi jobless hatuna pa kwenda semina imeahirishwa Leo ila tumefika na tumekaa Hadi jion na kesho tumekubaliana tutakuwepo.
UmeshatokaMkeka wa Temeke bado haujatoka
ThibitishaUmeshatoka
HaupoThibitisha
Fuata hiyo link upakue majina kwa halmashauri zote nchini.Haupo
Hakuna Temeke hapoFuata hiyo link upakue majina kwa halmashauri zote nchini.
National Bureau of Statistics - Orodha Ya Majina Ya Makarani Wa Sensa, Wasimamizi Wa Maudhui Na Wasimamizi Wa Tehama Kwa Ajili Ya Sensa Ya Watu Na Makazi Ya Mwaka, 2022
Tanzania National Bureau of Statisticswww.nbs.go.tz