Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hiv hiz siku mbili hesabu zake itakuaje???
Ukisoma taarifa yao unaweza gundua kitu kwa hizi siku 2 walizoahirisha. Wamesema baada ya semina kuisha kutakuwa na siku 2 za kuyatembelea/kukagua maeneo/mipaka ya kuhesabia, hii inamaanisha posho ya hizi siku 2 huenda wanaihamishia hapo. Nadhani mwanzo hawakuwa wameziratibu vizuri hizo siku waka gundua kwamba zingeleta malalamiko.

Chanzo: hisia zangu mwenyewe.
 
Asante kwa ramli
 
uko sahihi kabisaaa
 
Majina ya waliofaulu Usaili tayari yametoka kwa nchi nzima na halmashauri zote na kata zake tayari.
Unaweza download hapa kwa kufungua hiyo link na kisha uchaguzi walipoandika 'kupata majina, bonyeza hapa' then angalia jina lako kwa kutafuta halmashauri husika kwa jina lake kamili au utumie namna nyingine.

Back
Top Bottom