antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
20000 ufanisi utapunguaElfu20 mpaka elfu 30 inategemea na majukumu yako jombaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20000 ufanisi utapunguaElfu20 mpaka elfu 30 inategemea na majukumu yako jombaa
Sasa wakipitishia BENK kama wanavyosem c mtonyo utakuwa unakatwa ya kutolea kila wikiHuwa wanatoa Kwa Awamu, Mfano siku ya kwanza ya Semina wanaweza wakatoa Hela yote ya Semina Kwa wiki ya Kwanza, then wiki ya pili pia mkapewa Hela yote ya siku mtakazo hudhuria Kwa wiki hiyo
Labda huko wilayani kwenu namtumbo official semina zinaanza tareh 31 , na watendaji wametuma SMS , nyie wa kwenye madarasa ya chooni ndo mmeanza leoUnajiona mjanja kwa kupita huko instagram! Wenzio wameshapangiwa rooms kwa idadi kamili. Ujuaji mwingi mbele kiza
Wap uko mkuu acha ujuajiUnajiona mjanja kwa kupita huko instagram! Wenzio wameshapangiwa rooms kwa idadi kamili. Ujuaji mwingi mbele kiza
Kwa hiyo huko kinyerezi Ni tofauti na barua ya nbs Tanzania mzima? Semina inaendelea kesho?Me naongea nilichokiona! Nilikuwepo kinyerezi sekondari!!
Wee jamaa nenda kwenu ,jaaSisi jobless hatuna pa kwenda semina imeahirishwa Leo ila tumefika na tumekaa Hadi jion na kesho tumekubaliana tutakuwepo.
na posho hamjapewa??au mmepewa tayariSisi jobless hatuna pa kwenda semina imeahirishwa Leo ila tumefika na tumekaa Hadi jion na kesho tumekubaliana tutakuwepo.
Ni huko kwenu pa hovyo hovyo huku kwetu unaenda semina kila kitu kishapangwa,rafik kaenda leo kamkuta mlinzi wa shule kamwambia semina jpili tarehe 31Wewe endelea kushikiwa masikio. Naona mmeshindwa kung’amua. Mafunzo rasmi 31 leo watu wamepangwa na wanatakiwa kurudi tarehe 31. Au wewe ulitaka tarehe 31 upangwe/upewe utangulizi/mafunzo siku hiyohiyoo!?
Achana nae huyo.....tena kwao hovyo hvyo kwelikweliNi huko kwenu pa hovyo hovyo huku kwetu unaenda semina kila kitu kishapangwa,rafik kaenda leo kamkuta mlinzi wa shule kamwambia semina jpili tarehe 31
Usidanganye watu bhanaWewe endelea kushikiwa masikio. Naona mmeshindwa kung’amua. Mafunzo rasmi 31 leo watu wamepangwa na wanatakiwa kurudi tarehe 31. Au wewe ulitaka tarehe 31 upangwe/upewe utangulizi/mafunzo siku hiyohiyoo!?
Hiyo ndogo mkuu au una uhakika mi ninachojua ni 40,000 - 50,000 /=..!!!Elfu20 mpaka elfu 30 inategemea na majukumu yako jombaa
Me nahisi labda itakuwa watu wametumiwa meseji maana nishakata tamaa na hayo majinaTemeke majina Hadi sasahivi wamegoma kutoa tatizo nn ??
Tetesi za Kulipa Kwa Benki inaweza kuwa kweli kwasababu Pesa ni nyingi sana, tofauti na Ajira nyngn za muda kama Uchaguzi.Sasa wakipitishia BENK kama wanavyosem c mtonyo utakuwa unakatwa ya kutolea kila wiki
Temeke watakuwa na lao jambo sio bureMe nahisi labda itakuwa watu wametumiwa meseji maana nishakata tamaa na hayo majina
At least wewe huwa ukitoa taarifa zinakuwaga za kweli au kulingana na ukweliHiyo ndogo mkuu au una uhakika mi ninachojua ni 40,000 - 50,000 /=..!!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kumbe kuna sehem hadi sahiv wameuchunaTemeke majina Hadi sasahivi wamegoma kutoa tatizo nn ??
Hapo unakuta washapeana...ukitaka kuamin hilo subr jpili...watu watakuwa kwenye seminaKumbe kuna sehem hadi sahiv wameuchuna