Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ameshindwa kuandika tarehe kwa kiswahili? 31 July ndio nini? Eti hawa ndio watoa semina....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshindwa kuandika tarehe kwa kiswahili? 31 July ndio nini? Eti hawa ndio watoa semina....
Mawela vtcUru kusini
Haijulikani bado...
Kivipi mkuu!?? Si tar. 31!?ilala semina za sensa znaendelea ,sahv wanaita majina kam haupo unakatwa .
Tangazo mbona Ni la nchi mzima?Kivipi mkuu!?? Si tar. 31!?
Jamaaa anasema wanapangwa kimadarasa ila semina inaanza jpili,,!!Tangazo mbona Ni la nchi mzima?
Wewe unafikiri hapa kosa ni la nani, la alietoa tangazo la maombi au la alie omba?Nchi la kipumbavu sana hili.. wasio na Ajira wameomba walau hicho kingepatikana wangejiwekea misingi Cha ajabu anapewa ambae yupo kwenye mfumo
Sawa juma lokoleilala semina za sensa znaendelea ,sahv wanaita majina kam haupo unakatwa .
Sawa juma lokole
yah kuna jamaa ang amenambia pia hvo kuw wameitwa wamepangwa ila jpil ndo wataanz semina ila kama haupo unakatwa.Jamaaa anasema wanapangwa kimadarasa ila semina inaanza jpili,,!!
ndo hvo mkuu leo wamepangwa kimadarasaHuyu jamaa anazingua au real?
Sio kweli,usipokuja jpili ndio unakatwailala semina za sensa znaendelea ,sahv wanaita majina kam haupo unakatwa .
ndio lakn sio wakukate eti leo hyo sio haki wanawazngua tu lakn jumapili ndo nbs wamesema ni nani sasa wakupinge.
Achana naye anaongea kitu pasi kujua chochoteHuyu jamaa anazingua au real?
Ilikuwa 100,000/= per day.Hivi ngazi ya mkoa walilipwa bei gani semina
Ngazi ya taifa je??