Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nchi la kipumbavu sana hili.. wasio na Ajira wameomba walau hicho kingepatikana wangejiwekea misingi Cha ajabu anapewa ambae yupo kwenye mfumo
Wewe unafikiri hapa kosa ni la nani, la alietoa tangazo la maombi au la alie omba?

Nchi hii ina watu wa hovyo sana. Mtu analalama kumlaumu sijui mtumishi et kamzibia riziki jobles na wakati tangazo halikubagua nani aombe nani asiombe.

Kama lengo lao ilikuwa kuwapa mitaji majobless kwa nini hawakuliweka hilo sawa mapema ili watumishi wasiombe. Hapo ndo tungeshangaa watumishi kujichanganya na mdundo usiowafaa.

Na vilevile mfumo wao wa maombi ulionyesha kabisa nani mtumishi na nani si mtumishi, kwa nini hawakuweza kuwaondoa juu kwa juu endapo tangazo walilitoa ki makosa!!

Wote mnaolalamikia watumishi kuwapora nafasi zenu ni mazuzu na hamjitambui

No wounder sisiem itatawala milele na naomba ile hivyo
 
Back
Top Bottom