Mkuu vipi umetoboaMna roho mbaya sana haiwezekani mkeka wetu jobless tupo wanaume wawili wote ni watumishi tena wanawake ni wengi
Lazima tuwagongee wake na dada zenu tutatengeneza mazingira kipindi cha semina [emoji39][emoji39][emoji39]
Namimi nasubiri jibuSwali langu.....
Kuna mtu alipangiwa sasa kapata dharula, kubadili jina nan anahusikaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoboa mkuuMkuu vipi umetoboa
Hamna badohahahahaha utakula tunda kimasihara kunguru wa manzese ,sema umepotea sanaa kiongozi au mshaitwa interview dodoma?
Hongera chiefNimetoboa mkuu
Nilikula ban kidogohahahahaha utakula tunda kimasihara kunguru wa manzese ,sema umepotea sanaa kiongozi au mshaitwa interview dodoma?
Yechu yechu chiefHongera chief
Kubadili jina kivipi, unamaanisha nini?Swali langu.....
Kuna mtu alipangiwa sasa kapata dharula, kubadili jina nan anahusikaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingatia unadhifu tu. Mfano umepiga jinz yako safi na shart safi na kakiatu Kako mfano raba,safi kabisa. Sio unaenda umevaa katambuga nguo zisizonyooshwaSorry wakuu kwa wataalam wa haya Mambo ya semina za kiserikali naomba kuulizia swala la dressing code linazingatiwa? ni lazima tuvae official as official au hata mtu akivaa t-shirt na jeans inaruhusuwa na sandals. Maana sitaki kupoteza kwa namna yoyote ile jinsi nilivosota.
Nenda kwa mtendaji kataSwali langu.....
Kuna mtu alipangiwa sasa kapata dharula, kubadili jina nan anahusikaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa mkuu nimecheka sana hapo kwenye KatambugaZingatia unadhifu tu. Mfano umepiga jinz yako safi na shart safi na kakiatu Kako mfano raba,safi kabisa. Sio unaenda umevaa katambuga nguo zisizonyooshwa
Wilaya Gani hii?
Kwhyo hawa jamaa hata notebook hawagawi
Uko Sawa mkuu, kata jirani na yako(Kalangalala) pia imepunguza wanasemina kutoka 160 wa awali Hadi 109.Nimejichanganya vipi? Usaili tulikua 566, baada ya usaili Mkeka ukatoka na watu 200+, tarehe 29 usiku wakabandika mwingine, wengine wameondolewa, kuna watu walikosa mwanzo ila wakaonekana wamepata. Idadi imepungua hasi 160+
Wewe unafikiri hapa kosa ni la nani, la alietoa tangazo la maombi au la alie omba?
Nchi hii ina watu wa hovyo sana. Mtu analalama kumlaumu sijui mtumishi et kamzibia riziki jobles na wakati tangazo halikubagua nani aombe nani asiombe.
Kama lengo lao ilikuwa kuwapa mitaji majobless kwa nini hawakuliweka hilo sawa mapema ili watumishi wasiombe. Hapo ndo tungeshangaa watumishi kujichanganya na mdundo usiowafaa.
Na vilevile mfumo wao wa maombi ulionyesha kabisa nani mtumishi na nani si mtumishi, kwa nini hawakuweza kuwaondoa juu kwa juu endapo tangazo walilitoa ki makosa!!
Wote mnaolalamikia watumishi kuwapora nafasi zenu ni mazuzu na hamjitambui
No wounder sisiem itatawala milele na naomba ile hivyo πππ