Yah tanzania nzimaNi Tanzania [emoji1241] nzima hawajaruhusu simu ziwe na wamiliki wao
Malipo ni 40k chai + Lunch ni bure5k inakatwa kwenye 40k au jumla ni 45k
Wamefanyaje?Walichikofanya Wakufunzi wa Sensa ubungo leo.
Mungu anawaona.
Wanalipa kwa muda ganiMalipo ni 40k chai + Lunch ni bure
Vipi kuhusu malipo wanalipa kila baada ya muda gani kwanzaWakuu uku. Malipo 40000 pamoja na msosi per day elfu 5000 apo kuna mzabuni kwa siku kumi kwa karani
Wamefanyaje mbna habar nusu nusuWalichikofanya Wakufunzi wa Sensa ubungo leo.
Mungu anawaona.
Akisema nitagWamefanyaje?
Hela umepewa...kanunue kitimoto sasa usafishe tumboNimetoka semina chai asubuhi ndogo sana kwa siye majobles hatushibi alafu wametuwekea mihogo yakuchemsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman mbona semina wamejaa sana wanawake
Kila mtu kaingia anavyojua mkuu...hasa kwa wadadaNashida na kitabu cha sensa
Huku kwetu Temeke hatujapewakuna waliopokea malipo humu leo?