jamesmisana
Senior Member
- Dec 8, 2015
- 120
- 159
uzalendo kwanzakuna waliopokea malipo humu leo?
hamjaanza na somo la uzalendo kwanza na msitangulize pesa mbelee,pesa inakuja baada ya uzalendo kuutanguliza.Huku kwetu Temeke hatujapewa
Sisi tumepiga msosi freshMsosi kila sehemu n changamoto ukiuliza wanasema siku ya kwanza
Posho ni sawa kakaWakuuu hiv posho zinakua sawa kwa wote yaan tehama, karani,na msimamizi wa maidhui?
Kiongozi nakushukuru sana hapa Bado kufaulu tu
Unazingua mkuu
Kwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...Wakuuu hiv posho zinakua sawa kwa wote yaan tehama, karani,na msimamizi wa maidhui?
[emoji1787][emoji1787]vijana tumepata kazi alafu siku ya kwanza ni kuhoji masuala ya posho,tusubiri hata week 2 tu haina shida serikali iko makini tutangulize uzalendo kwanza.
SENSA KWA MAENDELEO,JIANDAE KUHESABIWA.
SENSA OYEEEEEEEEEE!
Umetisha Sana kuhoji ni hatua kubwa ya kujitambua.Kwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...
Nikamwita mwenyekiti nikamwambia huu msosi chenga , fanya warekebishe , au wafanye soko huria , teacher mmoja akageuka age nearer 50 kunitisha et haya mambo ya serikali usihoji hoji Sana , daah nikajisemea moyoni hiiiiiiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mi nahisi wanataka watu wajitahudi kuelewa kazi tu sidhani Kama kweli watatoa nafasi za ukarani na msimamizi wa maudhui kutokana na ufaulu wa mtu Kama wanavyodai.nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha ,
Hii 40k kwa siku ni kwa kata zote mkuu au ni vip maana maeneo mengine leo hawajalipwa na hawajui malipo ni kiasi gani?Kwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...
Nikamwita mwenyekiti nikamwambia huu msosi chenga , fanya warekebishe , au wafanye soko huria , teacher mmoja akageuka age nearer 50 kunitisha et haya mambo ya serikali usihoji hoji Sana , daah nikajisemea moyoni hiiiiiiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Malipo ni flat rate 40000, waliongeza 5000 Ila ikageuzwa kupewa mzabuni wa kuwalisha asbh na mchana 😊 , so mkononi unabaki na 40000 nchi nzima per dayHii 40k kwa siku ni kwa kata zote mkuu au ni vip maana maeneo mengine leo hawajalipwa na hawajui malipo ni kiasi gani?
Njoo inbox nkutumie soft copyNashida na kitabu cha sensa
Sipendi hii tabia mm au kuna zile swagger za uzalendo kwanza unatakiwa ufocus na kilicho kuleta hapa!!! Nigga kula vizuri ni part ya hii program,nchi ngumu sanaKwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...
Nikamwita mwenyekiti nikamwambia huu msosi chenga , fanya warekebishe , au wafanye soko huria , teacher mmoja akageuka age nearer 50 kunitisha et haya mambo ya serikali usihoji hoji Sana , daah nikajisemea moyoni hiiiiiiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kitume apa ndugu na mm nakihitajNjoo inbox nkutumie soft copy