Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wakuuu hiv posho zinakua sawa kwa wote yaan tehama, karani,na msimamizi wa maidhui?
Kwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...

Nikamwita mwenyekiti nikamwambia huu msosi chenga , fanya warekebishe , au wafanye soko huria , teacher mmoja akageuka age nearer 50 kunitisha et haya mambo ya serikali usihoji hoji Sana , daah nikajisemea moyoni hiiiiiiiiiii😊😊😊😊😊
 
Kwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...

Nikamwita mwenyekiti nikamwambia huu msosi chenga , fanya warekebishe , au wafanye soko huria , teacher mmoja akageuka age nearer 50 kunitisha et haya mambo ya serikali usihoji hoji Sana , daah nikajisemea moyoni hiiiiiiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Umetisha Sana kuhoji ni hatua kubwa ya kujitambua.
 
nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha ,
Mi nahisi wanataka watu wajitahudi kuelewa kazi tu sidhani Kama kweli watatoa nafasi za ukarani na msimamizi wa maudhui kutokana na ufaulu wa mtu Kama wanavyodai.
 
Kwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...

Nikamwita mwenyekiti nikamwambia huu msosi chenga , fanya warekebishe , au wafanye soko huria , teacher mmoja akageuka age nearer 50 kunitisha et haya mambo ya serikali usihoji hoji Sana , daah nikajisemea moyoni hiiiiiiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hii 40k kwa siku ni kwa kata zote mkuu au ni vip maana maeneo mengine leo hawajalipwa na hawajui malipo ni kiasi gani?
 
Kwenye semina ni Sawa Ila kwenye performance ni tofauti alaf maeneo mengi wamezingua nafas za usimamizi maudhui wamedai wote ni makarani Ila maudhui utapewa Kwa ufaulu utakaouonyesha , sjui ni mkwara , daaah .... Malipo ni 40000 , msosi na tea ni 5000 Total 45000, .... Aisee walimu ni janga kubwa Sana , nimeungana na Yule jamaa aliyesema wafanayakaz wa serikali wataneemeka sku walimu wakijitambua , leo tumelishwa asubh skonzi moja , na Andaz la Azam la Mia , tea na maji ...

Nikamwita mwenyekiti nikamwambia huu msosi chenga , fanya warekebishe , au wafanye soko huria , teacher mmoja akageuka age nearer 50 kunitisha et haya mambo ya serikali usihoji hoji Sana , daah nikajisemea moyoni hiiiiiiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Sipendi hii tabia mm au kuna zile swagger za uzalendo kwanza unatakiwa ufocus na kilicho kuleta hapa!!! Nigga kula vizuri ni part ya hii program,nchi ngumu sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hi kaz imeshaingia siasa walibidi watupe posho kila siku

Hakuna habari za uzalendo katika Mambo muhimu.

Pia hiyo 40k mbn ndogo sana jaman wakat makarani ndo kitovu Cha sensa.

Uzalendo unabidi uendane malipo mazuri na chakula Cha kutosha ili kuepusha kuharibu Kazi .
 
Back
Top Bottom