Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kama hukuambatanisha mwanzo kabisa wakati unajaza taarifa huwez kukiambatanisha tena
Unaweza me nime update baada ya kutuma maombi nenda kweny huisha viambatanisho chagua viambatanisho vingine then select file
 
Nilivyoambiwa na mtendaji (rfk angu)
Huko utumishi watachagua kulingana na vigezo,then watayatuma kwa maafisa utumishi wa mkoa,kila mkoa/wilaya!
Then wao nao watachagua kwahiyo ni yaleyale!.
Mi hata siombi!
Nimechoka
Omba tuu lkn kama yanarudi huku hapo kazi tunayo Bora yangetoka majina moja kwa moja mtandaoni Kila mmoja akajua kama amepata au hajapata Sasa hii ikifika wilayani wanaanza kuweka wa kwao hapa hatari san
 
Watangalia umeombea kijiji au kata ipi kisha wataangalia wadhamini wako umeweka wanaishi wapi na ndipo dhana ya kufoji dole gumba itakapoanzia.
Iyo mbona possible kk naeza kutumia form uko ukaiprint then ukatia dole af ukaniludishia koo iyo inawezekan na ndivo nilivofany
 
Omba tuu lkn kama yanarudi huku hapo kazi tunayo Bora yangetoka majina moja kwa moja mtandaoni Kila mmoja akajua kama amepata au hajapata Sasa hii ikifika wilayani wanaanza kuweka wa kwao hapa hatari san
Daaaaaah kwahiyo wilayani ndiyo wanapanga nan apate?
 
Katika ku update unaweza kuprint form nyingine ukaijaza upya.
 
Kwa wale walioomba mwanzo kuna kipengele cha jinsia kimeongezwa pale...alaf hawaoneshi sehemu ya kuedit
 
Mkuu ukitaka kujua kwamba maombi yametumwa unajuaje??
Maana mm nimeweka viambatanisho vyote kama wewe hapo ila kwa pembeni kule imeandika hatua ya maombi : "yanasubiri form namba moja"
Baada ya kurudisha kwenye mfumo hyo form no1 hayo maneno mekundu yatapotea then kule chin kama unatumia simu na kulia kwako kama upo na pc zile idadi ya ATTACHMENT zilikuwa nne now zitaongezeka na kuwa Tano .Hapo sasa mambo yamekamilika na unasubiri kwenda kuwa Ngoswe kijijin au mtaani.

Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
 
So hayo maneno ya nayosema "maombi yanasubiri form no 1" hayana tatzo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…