Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Benchi namba mbili paleeSemina kwa karani ni siku 10 kwa maudhui siku 19 kwa mkoa wa mbeya
Afu wameongeza elfu kumi tu ndo nauli mpaka mwisho wa mafunzo.
Reference ni ratiba kaka kama una ratiba ya zoezi zima angalia utaonaSidhani kama ni kweli.Ila binafsi ni msimamizi wa IT sasa wakitukatisha mafunzo wakienda huko field watapambana wenyewe na vishikwambi [emoji3]
Hapana posho yao itakuwa kwa Siku walizoshiriki semina Sawa na Siku 16Naomba kuuliza wanaoishia tar 15 je wataendelea kulipwa posho kuelekea sensa
Nimeamin Kwa NN kamisaa alisema hii KAZ NI ya kizalendoMimi jobless nimegundua kumbe siku ni fupi Sana ukiwa na kitu cha kufanya.
Kwa jinsi kazi ilivyo ni ya kizalendo kweli, ikizingatiwa kabisa kimalipo sahihi kutokana na ugumu wake inapaswa ilipwe mara mbili ya hivi inavyolipwa. Lakini Sisi jobles hatuna hasara hata hiyo tu tunaona bora kitu kuliko kukosa.Nimeamin Kwa NN kamisaa alisema hii KAZ NI ya kizalendo
Ss majobless cjui Kama tutapata mitaji
Hivi kama nina vyeti halafu nikakataa kuwaonyesha makarani nini kitatokea?ikiwa Mimi ndio mkuu wa kaya niwajibie wanafamilia wangu 10 au zaidi kila mmoja maswali 100 labda kama kuna posho napewa vinginevyo nitakapochoka kujibu ndio hapo hapo
Utakapochoka tunarudi keshoikiwa Mimi ndio mkuu wa kaya niwajibie wanafamilia wangu 10 au zaidi kila mmoja maswali 100 labda kama kuna posho napewa vinginevyo nitakapochoka kujibu ndio hapo hapo
HhhhhhHivi kama nina vyeti halafu nikakataa kuwaonyesha makarani nini kitatokea?
Hii kazi ngumu kichizi mimi sijali kitatokea nini huku nyuma mkeka ukija mwezi huu ukitiki nachora zangu kiwiraHii KAZI makarani wataumia Sana posho ya elfu 40 bado haimtoi jobless
Alafu mputa mputa na chakula cha hovyoHuku wamesema siku za kuhesabu watu ni siku 6 na siku za majengo ni siku 3
Ila hii semina ngumu jamani kupelekana paka sambili alafu ef40 daah
Ngoma ngumu ileJamani mwenye muongozo wa maswali ya mzee matata kipepeo jungu autupie hapa, maana tunasomewa na kujaza dodoso kwa haraka
Hahaha hao kiwira nao wanekausha hadi wakitoa mkeka watu wamepotezea wengine pia wameshafarikiHii kazi ngumu kichizi mimi sijali kitatokea nini huku nyuma mkeka ukija mwezi huu ukitiki nachora zangu kiwira
Mkuu hizo posho wataanza kutoa lini? Maana bank nimebaki na 10k sasa sijui tunatoboaje hapoHahaha hao kiwira nao wanekausha hadi wakitoa mkeka watu wamepotezea wengine pia wameshafariki
Huku ni kuumizana,ratiba imewekwa na serikali mwisho saa11 jioni haya mambo ya kutoana saa 2/3 sijui wameyatolea wapi hawa wakufunzi wa TANGA huku ndio kutoheshimu mamlaka za juuHuku wamesema siku za kuhesabu watu ni siku 6 na siku za majengo ni siku 3
Ila hii semina ngumu jamani kupelekana paka sambili alafu ef40 daah
Huko mbeya hamjapewa Ratiba au wewe ndo hujui kusoma Ratiba? Ratiba imeweka Kila kitu Clear na Mwisho imeandika WOTE. Kwa maana Mafunzo watapokea watu wote, Wewe wenzako wakijifunza unawaza maandazi tuNiko kwenye mafunzo mbeya mjini, hao siku 19 ni watu wa maudhui
Dodoso la sensa ya watu na makazi lina maswali 100 unaweza kweli kuhoji kaya 25 kwa Siku kila mwanakaya maswali 100 ukaguwe na vyeti na kwenye semina umelishwa vitumbua na hela ya nauli unakata kwenye 40k [emoji16][emoji16][emoji16]