Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Habari , wengine wanasema tarehe 14/may. Na wengine wanasema 19/may so which is which wajumbe ?
 
Hawa jamaaa wa nbs makompliketa wakati wanafungua maombi hakukuwa na kipengele cha jinsia bt Sasa Hv wamekiweka alafu wale waliokamilisha maombi wamewekewa NOT SET Alafu sehemu ya kuedit hakuna.

Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
 
Button ipo inakuja juu na maandishi MIKUNDU then unahuuisha taarifa za jinsia ME AU KE
 
Baada ya kuona tu unachonga ngenga kujusu button ya jinsia nikaenda kwwnye account yangu nikaona maandishi yanayonitaka kujaza jinsia
 
Nakumbuka tarehe 06/05/2022 siku ambayo niliofanya maombi, NAMBA YA MAOMBI WALINITUMIA KWENYE EMAIL YANGU NA ILIKUA NI NAMBA TU. 530000-0000043 ila kwa sasa nimeona baadhi ya watu namba za maombi zimejumuishwa kwenye taarifa za account zao na zipo mfumo wa herufi badala ya nambari ila kwangu sina
 
kwan hiyo sensa inafanyik mwez gan tarehe zipo nahofu kuomb than ikaw days field imeshafik .. ikaw nimetup md na hela... ??? msaada wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…