Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayana shida ukiweka tu hyo signed form yanapoteaSo hayo maneno ya nayosema "maombi yanasubiri form no 1" hayana tatzo??
Button ipo inakuja juu na maandishi MIKUNDU then unahuuisha taarifa za jinsia ME AU KEHawa jamaaa wa nbs makompliketa wakati wanafungua maombi hakukuwa na kipengele cha jinsia bt Sasa Hv wamekiweka alafu wale waliokamilisha maombi wamewekewa NOT SET Alafu sehemu ya kuedit hakuna.
Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
hakuna kwa waliokamilishaButton ipo inakuja juu na maandishi MIKUNDU then unahuuisha taarifa za jinsia ME AU KE
Mi nimekamiisha kama siku 7 nyuma na imekuja
Me imekuja na nilishatuma had form
Naona hapo hali ya AJIRAMe imekuja na nilishatuma had formView attachment 2223047
NakaziaMimi labda niwashauri ndugu zangu, kama unauwezo wa kupata makazi ya kujistiri kidogo Vijijini huko mbali basi kaombe huko vijijini. Huku mijini watu wanakila aina ya vyeti so ushindani lazima uwe mkubwa.
Mkuu unastahili kabisa kwenda vitani UkraineWe unadhani watakagua madole gumba ya wangapi mimi nimepiga kote la kwangu hadi la wadhamini wote wawili
Umeona si ulikua umabishaMaombi yetu wameyasikia now wameweka sehemu ya kuedit jinsisView attachment 2223089View attachment 2223090
Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
Muda huo ilikuwa bilabila that's why nikakoment vile bt baada ya kuingia tena nikakuta mambo muruaUmeona si ulikua umabisha
Me mwanachuo Kaka Sina ajiraNaona hapo hali ya AJIRA
Sensa 23/8 Ila kabla ya hapo kutakua na Seminas piakwan hiyo sensa inafanyik mwez gan tarehe zipo nahofu kuomb than ikaw days field imeshafik .. ikaw nimetup md na hela... ??? msaada wadau