Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
SawaTo clarify things,
Nyote mtasoma madodoso yote OK ila watakaojaza dodoso la jamii ni wasimamizi Wa maudhui Bcoz wao Hawatajaza Madodoso mengine kazi yao itakuwa kugawa EA na kusimamia from 23/8 to 3/9/2022
Endelea tu kujiongopea na kujipa matumaini ila ikifika tarehe 15 utaelewaTo clarify things,
Nyote mtasoma madodoso yote OK ila watakaojaza dodoso la jamii ni wasimamizi Wa maudhui Bcoz wao Hawatajaza Madodoso mengine kazi yao itakuwa kugawa EA na kusimamia from 23/8 to 3/9/2022
Kataa kitu kwa fact mdg wangu mkataba Wa mafunzo unakuambiaje mean au unasaini bila kusomaEndelea tu kujiongopea na kujipa matumaini ila ikifika tarehe 15 utaelewa
Hunijui sikujui, unapata wapi ujasili wa kuniita MDOGO wako.Kataa kitu kwa fact mdg wangu mkataba Wa mafunzo unakuambiaje mean au unasaini bila kusoma
Acha kuongopea na kuogopesha watu .Hunijui sikujui, unapata wapi ujasili wa kuniita MDOGO wako.
Kwakukusaidia tu Makarani na Wasimamizi mchujo utaanza jumatatu ya tare15.
Sio wote mtakaofanya kazi wapo watakaondolewa kabisa na wapo watakao kuwa kama Reserves
Inategemea na nini?Hunijui sikujui, unapata wapi ujasili wa kuniita MDOGO wako.
Kwakukusaidia tu Makarani na Wasimamizi mchujo utaanza jumatatu ya tare15.
Sio wote mtakaofanya kazi wapo watakaondolewa kabisa na wapo watakao kuwa kama Reserves
We Jamaa umelewa Mbege sijui hivi unafikiri Serikali ina akili za kipumbavu hivyo yaani watu wamelipwa hela 950k then umtoe kabla ya Kaz duu hizi Pombe hatariHunijui sikujui, unapata wapi ujasili wa kuniita MDOGO wako.
Kwakukusaidia tu Makarani na Wasimamizi mchujo utaanza jumatatu ya tare15.
Sio wote mtakaofanya kazi wapo watakaondolewa kabisa na wapo watakao kuwa kama Reserves
Makarani, wasimamizi na tehama wanamaliza mafunzo/seminar tarehe 15 isipokuwa kuna baadhi ya makarani watateuliwa na wasimamizi wa maudhui kuendelea na semina mpaka tarehe 19 hawa watafanya dodoso la jamii na sensa yake itafanyika tarehe 21 na 22.To clarify things,
Nyote mtasoma madodoso yote OK ila watakaojaza dodoso la jamii ni wasimamizi Wa maudhui Bcoz wao Hawatajaza Madodoso mengine kazi yao itakuwa kugawa EA na kusimamia from 23/8 to 3/9/2022
Hakuna reserves kwenye kazi hiiWe Jamaa umelewa Mbege sijui hivi unafikiri Serikali ina akili za kipumbavu hivyo yaani watu wamelipwa hela 950k then umtoe kabla ya Kaz duu hizi Pombe hatari
Huyo ameshalewa Pombe Ni Kama Frank Wanjiru alivyosema hii Kaz ya ukarani watapewa Walimu tu wakati huku semina tupo na Form four kibao na Jobless yaani JF imejaa wajinga Sana now daysInategemea na nini?
Acheni kutunga uongo hamjui hata kuwa Kuna Field ???? !!! Upuuzi hampo NBS Kaz kupost uongoMakarani, wasimamizi na tehama wanamaliza mafunzo/seminar tarehe 15 isipokuwa kuna baadhi ya makarani watateuliwa na wasimamizi wa maudhui kuendelea na semina mpaka tarehe 19 hawa watafanya dodoso la jamii na sensa yake itafanyika tarehe 21 na 22.
Unauliza swali au unatoa jibu?Hakuna reserves kwenye kazi hii
Reserve wapo mkuu, usiongee kitu bila ushahidiUnauliza swali au unatoa jibu?
Kumbe nshalipwa laki 9 na 50 na bado mnadai laki 6 na 40???950k bado 640k imebaki
Sehemu nyingine Bado Sana Sana dsm na maeneo mengineKumbe nshalipwa laki 9 na 50 na bado mnadai laki 6 na 40???
Kuna mtu uku anasema hajalipwa
Utazani field unaenda mwezi mzima tatizo ni kwamba ata ratiba yenyewe ya mafunzo hunaAcheni kutunga uongo hamjui hata kuwa Kuna Field ???? !!! Upuuzi hampo NBS Kaz kupost uongo
Hiyo 950k tumeshachukua sasa sijui wewe upo nchi gani?Wengi wenu mnaongea tu kwa mihemko hakuna hata mnachokijua ila subirini kuanzia 15/08/22 ndio mtajua kama;
i. Kuna mchujo au laa
ii. Kuna reserves au laa
iii. Kuna kulipwa 950k au laa
NAOMBA KUWASILISHA, MUWE NA SIKU NJEMA
Zile za watu wa dodoso la jamii wakiwa semina je hawa wengine watalipwa kama Kawaidadodoso la jamii ni siku mbili kabla ya kuanza zoezi la sensa. dodoso la jamii watachagulia baadhi kwa kila mtaa kudodosa dodoso la jamii.