adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Hahaha!! sio kweli jamaa hayupo Jf mimi wala hana smart updates za sensa na mikeka mimi ndiye niliyekua ninampa ,nikijua Temeke wametoa namrukia chap nipate changu mapema.Kwa hiyo umeamua kuja kinitangaza huku sio? Poa bhn ila tumeshalipwa sema nilipata shida kidogo Bimkubwa alimeza shoka bahati mbaya ikabidi nitume pesa yote.Ila usijali kuhusu supu nitakutafutia hata kunguru mmoja wapo wengi huku