Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwa hiyo umeamua kuja kinitangaza huku sio? Poa bhn ila tumeshalipwa sema nilipata shida kidogo Bimkubwa alimeza shoka bahati mbaya ikabidi nitume pesa yote.Ila usijali kuhusu supu nitakutafutia hata kunguru mmoja wapo wengi huku
Hahaha!! sio kweli jamaa hayupo Jf mimi wala hana smart updates za sensa na mikeka mimi ndiye niliyekua ninampa ,nikijua Temeke wametoa namrukia chap nipate changu mapema.
 
Acheni kutunga uongo hamjui hata kuwa Kuna Field ???? !!! Upuuzi hampo NBS Kaz kupost uongo
Dogo unajifanya much know sana, hivi viposho ulivyolipwa hapo umeona kama umetajirika, ndio maana vijana wa siku hizi hamuaminiki kabisa nimedanganya nini hapo sasa?
 
Back
Top Bottom