Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Miongoni mwa waliojibu hovyo kabisa maswali mimi ni mmoja wapo😂😂
Na mbaya zaidi nafasi niliyoomba ni MSIMAMIZI WA MAUDHUI😅

Na kwa style yao waliyoitumia kuendesha ule usahili niliona kabisa ni geresha tu

Hapa nasubiria maajabu ya Mungu ila sina wasiwasi sana maana mimi ni Half Jobless
Kumbe ulikosa nafasi that y unapost Rumors!!!😀😀
 
nimejaribu tudiscuss kidogo
IMG-20220808-WA0021.jpg
 
Wengi wenu mnaongea tu kwa mihemko hakuna hata mnachokijua ila subirini kuanzia 15/08/22 ndio mtajua kama;
i. Kuna mchujo au laa
ii. Kuna reserves au laa
iii. Kuna kulipwa 950k au laa

NAOMBA KUWASILISHA, MUWE NA SIKU NJEMA
Hili swala la tarehe 15 ni la kweli watu waliokua wanakataa labda hawakupata ratiba mpya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Temeke wakilipwa mnitag maana kuna mwamba namdai buku 3 amesema akilipwa atanipa , nataka nikanywe hata supu ya maana nibadilishe mandhari tumboni.
 
Temeke wakilipwa mnitag maana kuna mwamba namdai buku 3 amesema akilipwa atanipa , nataka nikanywe hata supu ya maana nibadilishe mandhari tumboni.
Kwa hiyo umeamua kuja kinitangaza huku sio? Poa bhn ila tumeshalipwa sema nilipata shida kidogo Bimkubwa alimeza shoka bahati mbaya ikabidi nitume pesa yote.Ila usijali kuhusu supu nitakutafutia hata kunguru mmoja wapo wengi huku
 
Back
Top Bottom