leprincess
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 282
- 452
Wapi huko mlikolipwa maana huku kwetu badoHiyo 950k tumeshachukua sasa sijui wewe upo nchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko mlikolipwa maana huku kwetu badoHiyo 950k tumeshachukua sasa sijui wewe upo nchi gani?
SawaMbeya
Unaweza kunionyeshea sehemu niliyopinga kwamba hukupewa 950Hiyo 950k tumeshachukua sasa sijui wewe upo nchi gani?
Kumbe ulikosa nafasi that y unapost Rumors!!!😀😀Miongoni mwa waliojibu hovyo kabisa maswali mimi ni mmoja wapo😂😂
Na mbaya zaidi nafasi niliyoomba ni MSIMAMIZI WA MAUDHUI😅
Na kwa style yao waliyoitumia kuendesha ule usahili niliona kabisa ni geresha tu
Hapa nasubiria maajabu ya Mungu ila sina wasiwasi sana maana mimi ni Half Jobless
Madhumuni ya SensaHakuna hata mwenye possible Question jamani..
Ila kama ulikua jobless 950k ni pesa ndefu sanaSehemu nyingine Bado Sana Sana dsm na maeneo mengine
Kweli sio haba kwa mtafutajiIla kama ulikua jobless 950k ni pesa ndefu sana
Bukoba,wewe unafanya semina kama nani?Mbeya
Hili swala la tarehe 15 ni la kweli watu waliokua wanakataa labda hawakupata ratiba mpyaWengi wenu mnaongea tu kwa mihemko hakuna hata mnachokijua ila subirini kuanzia 15/08/22 ndio mtajua kama;
i. Kuna mchujo au laa
ii. Kuna reserves au laa
iii. Kuna kulipwa 950k au laa
NAOMBA KUWASILISHA, MUWE NA SIKU NJEMA
Achana na huyo mpiga ramliHili swala la tarehe 15 ni la kweli watu waliokua wanakataa labda hawakupata ratiba mpya
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ratiba inajieleza lakini Utakuta mtu anakaza fuvuHili swala la tarehe 15 ni la kweli watu waliokua wanakataa labda hawakupata ratiba mpya
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
True.Paper ya Kesho itakuwa nondo
Kwa hiyo umeamua kuja kinitangaza huku sio? Poa bhn ila tumeshalipwa sema nilipata shida kidogo Bimkubwa alimeza shoka bahati mbaya ikabidi nitume pesa yote.Ila usijali kuhusu supu nitakutafutia hata kunguru mmoja wapo wengi hukuTemeke wakilipwa mnitag maana kuna mwamba namdai buku 3 amesema akilipwa atanipa , nataka nikanywe hata supu ya maana nibadilishe mandhari tumboni.