Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwa wilaya hii ni kawaida sana kutolipa hela kwenye zoezi hili na mengine yakitaifa kama uchaguzi hawakulipwa elfu 50 zao kwani waliambiwa watalipwa kwenye kata zao na hawakulipwa,kwa uzoefu huo makarani wamekomaa walipwe laki 2 zao za pesa za kujikimu mkononi leo hii.
 
Sema wapi huko taarifa ifike kwa wakubwa hili zoezi siyo lakuchezea hao wasimamizi hawapo serious kma hawajatoa pesa kwa watu husika
 
Unaogopa nini na hakuna anayekujua embu taja
 
Wamekuja kutoa pesa jioni hii baada ya siku nzima kuisha,makarani wanapewa pesa zao sahizi.
 
Uzuri wake wametoa ila wakufunzi naona wao joto liko vile vile maana walipata guest wakaona kwa mwenendo wa malipo unavyoenda watashindwa nao vumiliwa na mmiliki ikawabidi watafute vyumba mtaani wapange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…