Tanzania itakombolewa kifikra Siku walimu wakiamua kufanya maboresho juu ya mitazamo yao
waling'ang'ania nafasi za Sensa cha ajabu vitest vidogo tu vinawatoa mijasho wanahangaika mnoo mpaka wanadiriki Kuiba mitihani ili wasipate alama za chini lakini pamoja na Kuiba mtihani ila wanaishia kupata 70-80 wakati kuna vijana bila Kuiba mtihani wanapata 90-100
Wamejichomeka kwenye usimamizi wa maudhui ilihali vishikwambi ni changamoto kutuma na kupokea kazi tu ni kipengele
Wengine ni wazee sana hawataweza kuhoji kaya 25 Kwa Siku wakizunguka huku na Kule baadhi nimewasikia wakisema baada ya semina watajiengua kwani kazi ni nzito mnoo