Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Unatumia viemoji vya kucheka

Utakuwa si riziki nini

usikariri kila mtu anaishi kwa shemeji yake kama wewe shauri yako

Nitakutongoza nikutindue maana nishaona vi element

Na hivi ulivyo ni teacher puru lako nalimiminia lemon juice kabla ya Kaz
Haya makasiriko yaelekeze kwa nbs wao ndio wakulaumiwa hili povu wamwagie wao
 
Daah hii Kaz ngumu aisee mramani unasumbua kwangu unasoma nje ya mpka wa eneo langu plus hili jua sio poa

Sema mda si mrefu nawaachia tablets lao nasepa sigeuki nyuma Jana nime left ma group ya hr na ajira na fursa kule telegram wale wenzangu wanaelewa naongelea nini kishindo wataskia mda si mrefu kwenye ule uzi.. lini ? Sijui [emoji3]

Just because you are slow doesn't mean you are failure [emoji120]
 
Huku kuna watu walitoka Kwa sababu za imani kwamba hawakuwa tayari kushiriki semina Kwa zile Siku za ibada Walitolewa wakaingizwa wengine

kwenye malipo wale waliotoka waliitwa wakachukua mpunga wao wa Siku 3 na wale reserve walichukua wa Siku mbili

Unaweza kutumia hii reference kubashiri hii kesi ya watakaoshia Siku 16 na watakaomaliza Siku 19
hawa ni wasabato tu bila ya shaka
 
Daah hii Kaz ngumu aisee mramani unasumbua kwangu unasoma nje ya mpka wa eneo langu plus hili jua sio poa

Sema mda si mrefu nawaachia tablets lao nasepa sigeuki nyuma Jana nime left ma group ya hr na ajira na fursa kule telegram wale wenzangu wanaelewa naongelea nini kishindo wataskia mda si mrefu kwenye ule uzi.. lini ? Sijui [emoji3]

Just because you are slow doesn't mean you are failure [emoji120]
Usitukane wakunga uzazi ungalipo
 
Hakuna kitu kama hicho reserve wapo kama wote [emoji3]

Ni kitendo cha kuwapasia wenzako na wewe fursa
kifungo kinakuhusu mkuu labda uwe na sababu zaidi ya msingi mfano mimi ramani imesoma pale pale tu kwasababu ni mtalaamu wa mambo ya survey nyie mnakosea sanaa mnavyo save na kuchukua gps location ,,mnaharaka sanaaa unatakiwa ukae sehemu ile ile nje kwa muda kidogo ili location yako itulie ndipo usave kaz na kuchukua location.
 
Daah hii Kaz ngumu aisee mramani unasumbua kwangu unasoma nje ya mpka wa eneo langu plus hili jua sio poa

Sema mda si mrefu nawaachia tablets lao nasepa sigeuki nyuma Jana nime left ma group ya hr na ajira na fursa kule telegram wale wenzangu wanaelewa naongelea nini kishindo wataskia mda si mrefu kwenye ule uzi.. lini ? Sijui [emoji3]

Just because you are slow doesn't mean you are failure [emoji120]
Ukiingia kwenye eneo nenda weka accuracy location off hutokaa uone hizo mambo
 
Attachments

  • Screenshot_20220812-200218_Gallery.jpg
    Screenshot_20220812-200218_Gallery.jpg
    46.6 KB · Views: 9
Huku songea watu wanakula na 10000 ya nauli kwa siku 5
Hahahahahah nimecheka Ile mbaya.

Watu walivyokuwa wanazigombania hizi nafasi na wanachokutana nacho huko hawaamini macho yao.

Kuna uwezokano mkubwa hadi wanamaliza zoezi Kuna ambao hawataiona hata sumni[emoji2][emoji1787]

Wale mliokosa siku ingine msisikitike

Akunyimae kunde amekupunguzia mashuzi tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji90]
 
Mkuu hujaelewa kilichomaanishwa, ela imelipwa ya siku 10, na nauli juu shilingi elfu 2 kwa kila siku. Mkuu hamna karani atakayeondoka na chn ya sh lak 9, ilikuwa ni halali kugombaniwa vile,watu walishajua hii ni fursa,.
 
Hahahahahah nimecheka Ile mbaya.

Watu walivyokuwa wanazigombania hizi nafasi na wanachokutana nacho huko hawaamini macho yao.

Kuna uwezokano mkubwa hadi wanamaliza zoezi Kuna ambao hawataiona hata sumni[emoji2][emoji1787]

Wale mliokosa siku ingine msisikitike

Akunyimae kunde amekupunguzia mashuzi tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji90]
Dalili zote zinaonyesha anko kuna kudhulumiwa au kuondolewa Kwa figisu huku waliodhania kuwa ni wasimamizi wa maudhui wamepigwa chini baadhi na kuwekwa wengine sjajua ni kigezo gani kimetumika
 
Tanzania itakombolewa kifikra Siku walimu wakiamua kufanya maboresho juu ya mitazamo yao

waling'ang'ania nafasi za Sensa cha ajabu vitest vidogo tu vinawatoa mijasho wanahangaika mnoo mpaka wanadiriki Kuiba mitihani ili wasipate alama za chini lakini pamoja na Kuiba mtihani ila wanaishia kupata 70-80 wakati kuna vijana bila Kuiba mtihani wanapata 90-100

Wamejichomeka kwenye usimamizi wa maudhui ilihali vishikwambi ni changamoto kutuma na kupokea kazi tu ni kipengele

Wengine ni wazee sana hawataweza kuhoji kaya 25 Kwa Siku wakizunguka huku na Kule baadhi nimewasikia wakisema baada ya semina watajiengua kwani kazi ni nzito mnoo
 
Hivi hii Sensa watumishi ni walimu Tu? WEO,manesi,mabwana na mabibi shamba hawaonekani? Au Leo kila mtumishi aliyeko semina ya sensa ni mwalimu?! Hizi chuki dhidi ya walimu ni kubwa Sana Hao hao walimu wakiamua kuwachukia kama mnavofanya itawagharimu mno.
 
Back
Top Bottom