Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Haya makasiriko yaelekeze kwa nbs wao ndio wakulaumiwa hili povu wamwagie waoUnatumia viemoji vya kucheka
Utakuwa si riziki nini
usikariri kila mtu anaishi kwa shemeji yake kama wewe shauri yako
Nitakutongoza nikutindue maana nishaona vi element
Na hivi ulivyo ni teacher puru lako nalimiminia lemon juice kabla ya Kaz
Sina shida nao nilikuwa na deal kidogo na huyo shushu aliye jichanganyaHaya makasiriko yaelekeze kwa nbs wao ndio wakulaumiwa hili povu wamwagie wao
Kwahyo ye akinitukana ni sawa ?Mzee mbona unatukana sana kk, sio vyema sana , kwanin unatoa maneno makali hiv, acha hzo
hawa ni wasabato tu bila ya shakaHuku kuna watu walitoka Kwa sababu za imani kwamba hawakuwa tayari kushiriki semina Kwa zile Siku za ibada Walitolewa wakaingizwa wengine
kwenye malipo wale waliotoka waliitwa wakachukua mpunga wao wa Siku 3 na wale reserve walichukua wa Siku mbili
Unaweza kutumia hii reference kubashiri hii kesi ya watakaoshia Siku 16 na watakaomaliza Siku 19
Usitukane wakunga uzazi ungalipoDaah hii Kaz ngumu aisee mramani unasumbua kwangu unasoma nje ya mpka wa eneo langu plus hili jua sio poa
Sema mda si mrefu nawaachia tablets lao nasepa sigeuki nyuma Jana nime left ma group ya hr na ajira na fursa kule telegram wale wenzangu wanaelewa naongelea nini kishindo wataskia mda si mrefu kwenye ule uzi.. lini ? Sijui [emoji3]
Just because you are slow doesn't mean you are failure [emoji120]
Tayari tushajulishwa na mesejiUsitukane wakunga uzazi ungalipo
Hakuna kitu kama hicho reserve wapo kama wote [emoji3]Karani kifungo kitakuhusu
kifungo kinakuhusu mkuu labda uwe na sababu zaidi ya msingi mfano mimi ramani imesoma pale pale tu kwasababu ni mtalaamu wa mambo ya survey nyie mnakosea sanaa mnavyo save na kuchukua gps location ,,mnaharaka sanaaa unatakiwa ukae sehemu ile ile nje kwa muda kidogo ili location yako itulie ndipo usave kaz na kuchukua location.Hakuna kitu kama hicho reserve wapo kama wote [emoji3]
Ni kitendo cha kuwapasia wenzako na wewe fursa
Ukiingia kwenye eneo nenda weka accuracy location off hutokaa uone hizo mamboDaah hii Kaz ngumu aisee mramani unasumbua kwangu unasoma nje ya mpka wa eneo langu plus hili jua sio poa
Sema mda si mrefu nawaachia tablets lao nasepa sigeuki nyuma Jana nime left ma group ya hr na ajira na fursa kule telegram wale wenzangu wanaelewa naongelea nini kishindo wataskia mda si mrefu kwenye ule uzi.. lini ? Sijui [emoji3]
Just because you are slow doesn't mean you are failure [emoji120]
Hahahahahah nimecheka Ile mbaya.Huku songea watu wanakula na 10000 ya nauli kwa siku 5
Pamoja mkuu [emoji120]Ukiingia kwenye eneo nenda weka accuracy location off hutokaa uone hizo mambo
Mkuu hujaelewa kilichomaanishwa, ela imelipwa ya siku 10, na nauli juu shilingi elfu 2 kwa kila siku. Mkuu hamna karani atakayeondoka na chn ya sh lak 9, ilikuwa ni halali kugombaniwa vile,watu walishajua hii ni fursa,.Hahahahahah nimecheka Ile mbaya.
Watu walivyokuwa wanazigombania hizi nafasi na wanachokutana nacho huko hawaamini macho yao.
Kuna uwezokano mkubwa hadi wanamaliza zoezi Kuna ambao hawataiona hata sumni[emoji2][emoji1787]
Wale mliokosa siku ingine msisikitike
Akunyimae kunde amekupunguzia mashuzi tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji90]
Dalili zote zinaonyesha anko kuna kudhulumiwa au kuondolewa Kwa figisu huku waliodhania kuwa ni wasimamizi wa maudhui wamepigwa chini baadhi na kuwekwa wengine sjajua ni kigezo gani kimetumikaHahahahahah nimecheka Ile mbaya.
Watu walivyokuwa wanazigombania hizi nafasi na wanachokutana nacho huko hawaamini macho yao.
Kuna uwezokano mkubwa hadi wanamaliza zoezi Kuna ambao hawataiona hata sumni[emoji2][emoji1787]
Wale mliokosa siku ingine msisikitike
Akunyimae kunde amekupunguzia mashuzi tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji90]
Hivi hii Sensa watumishi ni walimu Tu? WEO,manesi,mabwana na mabibi shamba hawaonekani? Au Leo kila mtumishi aliyeko semina ya sensa ni mwalimu?! Hizi chuki dhidi ya walimu ni kubwa Sana Hao hao walimu wakiamua kuwachukia kama mnavofanya itawagharimu mno.Tanzania itakombolewa kifikra Siku walimu wakiamua kufanya maboresho juu ya mitazamo yao
waling'ang'ania nafasi za Sensa cha ajabu vitest vidogo tu vinawatoa mijasho wanahangaika mnoo mpaka wanadiriki Kuiba mitihani ili wasipate alama za chini lakini pamoja na Kuiba mtihani ila wanaishia kupata 70-80 wakati kuna vijana bila Kuiba mtihani wanapata 90-100
Wamejichomeka kwenye usimamizi wa maudhui ilihali vishikwambi ni changamoto kutuma na kupokea kazi tu ni kipengele
Wengine ni wazee sana hawataweza kuhoji kaya 25 Kwa Siku wakizunguka huku na Kule baadhi nimewasikia wakisema baada ya semina watajiengua kwani kazi ni nzito mnoo