Muonekano wenu, mavazi yenu , Tabiaa zenu mbaya.Hivi hii Sensa watumishi ni walimu Tu? WEO,manesi,mabwana na mabibi shamba hawaonekani? Au Leo kila mtumishi aliyeko semina ya sensa ni mwalimu?! Hizi chuki dhidi ya walimu ni kubwa Sana Hao hao walimu wakiamua kuwachukia kama mnavofanya itawagharimu mno.
Kiukweli inasikitisha kwani hata miminaona watu kibao tofaut na walimu mfano manesi wamejaa ,manwana shamba wengiiiiiii hatari tena wengine ni watu wazima kabisaHivi hii Sensa watumishi ni walimu Tu? WEO,manesi,mabwana na mabibi shamba hawaonekani? Au Leo kila mtumishi aliyeko semina ya sensa ni mwalimu?! Hizi chuki dhidi ya walimu ni kubwa Sana Hao hao walimu wakiamua kuwachukia kama mnavofanya itawagharimu mno.
SawaMuonekano wenu, mavazi yenu , Tabiaa zenu mbaya.
Popote pale NI rahisi Sana kutambulika
ChukiMuonekano wenu, mavazi yenu , Tabiaa zenu mbaya.
Popote pale NI rahisi Sana kutambulika
Ndugu wasimamizi weupe kinoma,mm sishangai aiseeeDalili zote zinaonyesha anko kuna kudhulumiwa au kuondolewa Kwa figisu huku waliodhania kuwa ni wasimamizi wa maudhui wamepigwa chini baadhi na kuwekwa wengine sjajua ni kigezo gani kimetumika
Shukru Mungu umepata hata huo ukarani maana kuna watu kibao wamekosa. Sababu kubwa serikali kuwatumia walimu wakuu kama wasimamizi wa maudhui ni kwamba wana dhamana ya vyeo vyao na nyadhifa ni rahisi kuwabana na wakatekeleza majukumu yao vizuri tofauti na jobless.Tanzania itakombolewa kifikra Siku walimu wakiamua kufanya maboresho juu ya mitazamo yao
waling'ang'ania nafasi za Sensa cha ajabu vitest vidogo tu vinawatoa mijasho wanahangaika mnoo mpaka wanadiriki Kuiba mitihani ili wasipate alama za chini lakini pamoja na Kuiba mtihani ila wanaishia kupata 70-80 wakati kuna vijana bila Kuiba mtihani wanapata 90-100
Wamejichomeka kwenye usimamizi wa maudhui ilihali vishikwambi ni changamoto kutuma na kupokea kazi tu ni kipengele
Wengine ni wazee sana hawataweza kuhoji kaya 25 Kwa Siku wakizunguka huku na Kule baadhi nimewasikia wakisema baada ya semina watajiengua kwani kazi ni nzito mnoo
Nasikia wamepewa kwa sababu ni wakuu wa shule provided that other factors remain constantNdugu wasimamizi weupe kinoma,mm sishangai aiseee
Mkufunzi wangu kasema bora wasinge waandika alafu wangekuja chagua kutokana na performance ya darasani.
Tumeenda uwandani mm ndio namsaidia kufanya vitu,raman imegeuka yeye anaforce tuangalie north direction,wakati raman ipo kushoto kulia.
Nikija kukwambia nimepewa usimamizi usije sema kuna mchongo itakua tu kwavile najua vitu na najituma. Uwandani imeumbua watu sana
Kama Wapo ni wachache sana na hawana ajira ni huzuni sana mtumishi kukaba mpaka penatiHivi hii Sensa watumishi ni walimu Tu? WEO,manesi,mabwana na mabibi shamba hawaonekani? Au Leo kila mtumishi aliyeko semina ya sensa ni mwalimu?! Hizi chuki dhidi ya walimu ni kubwa Sana Hao hao walimu wakiamua kuwachukia kama mnavofanya itawagharimu mno.
Hii sio hoja ndugu,maana hao walimu hawajui kazi aiseeeShukru Mungu umepata hata huo ukarani maana kuna watu kibao wamekosa. Sababu kubwa serikali kuwatumia walimu wakuu kama wasimamizi wa maudhui ni kwamba wana dhamana ya vyeo vyao na nyadhifa ni rahisi kuwabana na wakatekeleza majukumu yao vizuri tofauti na jobless.
Ikumbukwe pia vishikwambi na vitu vingine vyote vitakusanywa kwa hao wasimamizi, sasa kijana wa mtaani ataaminika vipi kukabidhiwa vishikwambi 10.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nasikia wamepewa kwa sababu ni wakuu wa shule provided that other factors remain constant
Kwa sababu tu ni mkuu wa shule apewe tu bila kujali weledi mtu hawezi kutumia mfumo wa CAPI dodoso lenyewe halijui ,,,atalijuaje na huwa anaiba mtihaniShukru Mungu umepata hata huo ukarani maana kuna watu kibao wamekosa. Sababu kubwa serikali kuwatumia walimu wakuu kama wasimamizi wa maudhui ni kwamba wana dhamana ya vyeo vyao na nyadhifa ni rahisi kuwabana na wakatekeleza majukumu yao vizuri tofauti na jobless.
Ikumbukwe pia vishikwambi na vitu vingine vyote vitakusanywa kwa hao wasimamizi, sasa kijana wa mtaani ataaminika vipi kukabidhiwa vishikwambi 10.
Ni kheri huyo anapokea mawazo ya makarani kuna Wapo huku hawaelewi kitu alafu hawataki kushauriwa kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna mmoja ameshukuru sana uwepo wangu ni vile tu mm sio kijana wa hovyo.
Msilaumu walimu,laumu serikali iliyotoka ajira na kuruhusu kila MTU kuomba.Acheni chuki zenu binafsi.Vijana mjiajiri ili muondokane na chuki dhidi ya walimu,acheni kuchagua kazi.Haya mwezi wa kumi na moja NECTA zinaanza sijui mtakuja kuanzisha Uzi wa walimu wasisimamieKama Wapo ni wachache sana na hawana ajira ni huzuni sana mtumishi kukaba mpaka penati
Sisi huku hatuwasaidii tunawatenga kimtindo washashtuka [emoji16] ndio maana maneno ya tupendane tusibaguane yanatumika sana [emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna mmoja ameshukuru sana uwepo wangu ni vile tu mm sio kijana wa hovyo.
Ni kweli hao watu wapoHivi hii Sensa watumishi ni walimu Tu? WEO,manesi,mabwana na mabibi shamba hawaonekani? Au Leo kila mtumishi aliyeko semina ya sensa ni mwalimu?! Hizi chuki dhidi ya walimu ni kubwa Sana Hao hao walimu wakiamua kuwachukia kama mnavofanya itawagharimu mno.
Huyo WEO ni mchonganisha baada ya kuona wao wameishia kufanya semina siku mbili na kuambulia Ka elfu 80 kaanza chuki Kwa walimu.Yeye alikua wapi wakati wanaweka walimu tupu? Katika like jopo si alikuwemo?Ni kweli hao watu wapo
Unajua chuki inakujaje ?
Walimu wakuu ndio walifanya usaili walichokuwa wanafanya kwa baadhi ya kata nikupiga panga vijana wanawachukua walimu wenzao tu sasa kama kazi tumepewa wote kwa nini muwakate vijana ?
Kata yangu Weo ananiambia majina ya kwanza kulikuwa na walimu tu hata au watumishi uliowataja hawakuwepo jumla watu 23 .. ikabidi kamati ije juu ndio wakabadili tukawepo na sie
Sasa kwa hali kama hii kwa nini msichukiwe ?
Huwezi chukiwa bila sababu .. kwa nini iwe wewe wasiwe wengine
Kuhusu yeye kuwa mchonganishi mimi na wewe hilo hatujui sijui kuhusu alikuwa wapi hilo sijui.. beside Weo chuki kwa mwalimu atoe wapi wakati wote ni watumishi tu ? Labda angekuwa mtu baki hapo sawa ningekubaliana na kauli yako na pia toka mwanzo kabisa si walijua kabisa Weo hawashiriki walishakubaliana na hali na maagizo .Huyo WEO ni mchonganisha baada ya kuona wao wameishia kufanya semina siku mbili na kuambulia Ka elfu 80 kaanza chuki Kwa walimu.Yeye alikua wapi wakati wanaweka walimu tupu? Katika like jopo si alikuwemo?
NomaNi kheri huyo anapokea mawazo ya makarani kuna Wapo huku hawaelewi kitu alafu hawataki kushauriwa kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]