Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Muonekano wenu, mavazi yenu , Tabiaa zenu mbaya.Hivi hii Sensa watumishi ni walimu Tu? WEO,manesi,mabwana na mabibi shamba hawaonekani? Au Leo kila mtumishi aliyeko semina ya sensa ni mwalimu?! Hizi chuki dhidi ya walimu ni kubwa Sana Hao hao walimu wakiamua kuwachukia kama mnavofanya itawagharimu mno.
Popote pale NI rahisi Sana kutambulika