Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mnatuchanganya sn, yaan wale wa dodoso la jamii + dodoso la sensa iwe 550,000/= na wengne wapate 495,000/= tofaut iwe 55,000????
Impossible!!
 
Mnatuchanganya sn, yaan wale wa dodoso la jamii + dodoso la sensa iwe 550,000/= na wengne wapate 495,000/= tofaut iwe 55,000????
Impossible!!
Nasikia wale wadodoso la jamiii n semina 120,000/= siku tatu na 60,000/= ya kazi jumla laki mbili.
 
Nasikia wale wadodoso la jamiii n semina 120,000/= siku tatu na 60,000/= ya kazi jumla laki mbili.
Dodoso la jamii 120,000 za semina ambayo ni siku tatu
50,000 za kazi ambyo ni siku moja
5,000 la nauli...ipo ivho kwa mkataba wa kazi
 
Hao hao waratibu elimu kata wasiojua chochote ndiyo wanakupandisha[emoji23][emoji23]
Alafu hao waratibu Wana nongwa na umbeya kishenzi ole wako waskie unajihusisha au una mradi wa kukuingizia chochote na upo pale kwenye semina wanasema umeenda kuwachora tu kwamba unaingiza pesa mara mbili wapo Radhi kukukata hata kwenye dodoso la jamii usiwepo Kuna mwanangu mmoja wamemfanyia hivyo walimwandama kishenzi mwisho wa siku kwenye dodoso la jamii hawakumchagua na alikuwa vizuri kwenye kila sehemu watu hawataki ujihusishe na kitu kingine tofauti na mnachofanya pamoja mfano mpo kazini wote afu waskie una kibiashara kingine pembeni watakuandama Hadi ufukuzwe kazini.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mie binafsi sio mjibuji wa maswali darasan lakin linapokuja swala la paper hunikamati.

Sie huku overall average ana 94>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…