Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia wale wadodoso la jamiii n semina 120,000/= siku tatu na 60,000/= ya kazi jumla laki mbili.Mnatuchanganya sn, yaan wale wa dodoso la jamii + dodoso la sensa iwe 550,000/= na wengne wapate 495,000/= tofaut iwe 55,000????
Impossible!!
Mbn hapo inakomea 180000 hiyo elf 20 wanaipata wapi ili ikamilike laki mbili?Nasikia wale wadodoso la jamiii n semina 120,000/= siku tatu na 60,000/= ya kazi jumla laki mbili.
Dah tuliokatwa Tehama tuna lakujifunza 🤣Kwanza hela zenyewe tunazojadili hatujapewa mpk leo sijajua wana mpango gan
Hesabu haiji !!Nasikia wale wadodoso la jamiii n semina 120,000/= siku tatu na 60,000/= ya kazi jumla laki mbili.
WabongoWew muongo wakat watu wamesaini laki tano wewe unasema 495000 unapotosha
Possible wweMnatuchanganya sn, yaan wale wa dodoso la jamii + dodoso la sensa iwe 550,000/= na wengne wapate 495,000/= tofaut iwe 55,000????
Impossible!!
Dodoso la jamii 120,000 za semina ambayo ni siku tatuNasikia wale wadodoso la jamiii n semina 120,000/= siku tatu na 60,000/= ya kazi jumla laki mbili.
Imekuaje tena??Dah tuliokatwa Tehama tuna lakujifunza 🤣
hahahaha nashukuru mimi nimepanda cheo kutoka ukarani mpaka usimamizi wa maudhui na pia nitakua TEHAMA wameniona nipo vyema kote.Imekuaje tena??
Hao hao waratibu elimu kata wasiojua chochote ndiyo wanakupandisha😂😂hahahaha nashukuru mimi nimepanda cheo kutoka ukarani mpaka usimamizi wa maudhui na pia nitakua TEHAMA wameniona nipo vyema kote.
Alafu hao waratibu Wana nongwa na umbeya kishenzi ole wako waskie unajihusisha au una mradi wa kukuingizia chochote na upo pale kwenye semina wanasema umeenda kuwachora tu kwamba unaingiza pesa mara mbili wapo Radhi kukukata hata kwenye dodoso la jamii usiwepo Kuna mwanangu mmoja wamemfanyia hivyo walimwandama kishenzi mwisho wa siku kwenye dodoso la jamii hawakumchagua na alikuwa vizuri kwenye kila sehemu watu hawataki ujihusishe na kitu kingine tofauti na mnachofanya pamoja mfano mpo kazini wote afu waskie una kibiashara kingine pembeni watakuandama Hadi ufukuzwe kazini.Hao hao waratibu elimu kata wasiojua chochote ndiyo wanakupandisha[emoji23][emoji23]
Halmashauri gani?maana wengine tumelipwa,bado ya kaziJamani hawa watu mbona hawatoi hela za semina
KilosaHalmashauri gani?maana wengine tumelipwa,bado ya kazi
Mie binafsi sio mjibuji wa maswali darasan lakin linapokuja swala la paper hunikamati.Wakifanya hivi watakua wanazingua sana. Huku kwetu kuna watu walishapewa maswali na majibu ya Jaribio la I mpaka la III la jana (Jana nimeona kwa macho yangu, nikabaki nashangaa tu na u-jobless wangu). Hawa wanaonekana wana highest pass marks wakati utendaji wao wa kazi uwandani unatia mashaka.
Me nadhani Wakufunzi wangepewa nafasi ya kufanya sorting out in reference to class sessions. Kwa mfano darasa lina watu 70 ni rahisi kukumbuka. Mkufunzi aje darasani, a-pick waliokua sharp kujibu maswali aliyokua akiuliza mara kwa mara. Lakini kwa kigezo cha ufaulu wataharibu kabisa, watu walipata 100% mitihani yote ya awali lakini mtiti upo kwenye Kishikwambi.