Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Saivi kujuana sio inshu, inshu unatoa tembo wangapi?
Hahaha eti 🐘 wangapi, na hujui au huna hakika utapewa 🐘 wangapi. Anuani za makazi kulifanyika uhuni watu walipewa 🐘 mmoja kwa siku. Hii Tz Ngumu wajemeni.
 
Hv ile issue ya kuhuisha jinsia ilikuaje, me leo ndo naingia tena kwenye account naikuta alafu inagoma msaada tafadhari kwa wanaofahamu kuhusu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…