Binsar
Member
- Feb 16, 2015
- 25
- 9
Hahaha eti 🐘 wangapi, na hujui au huna hakika utapewa 🐘 wangapi. Anuani za makazi kulifanyika uhuni watu walipewa 🐘 mmoja kwa siku. Hii Tz Ngumu wajemeni.Saivi kujuana sio inshu, inshu unatoa tembo wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha eti 🐘 wangapi, na hujui au huna hakika utapewa 🐘 wangapi. Anuani za makazi kulifanyika uhuni watu walipewa 🐘 mmoja kwa siku. Hii Tz Ngumu wajemeni.Saivi kujuana sio inshu, inshu unatoa tembo wangapi?
Kazi ishakuwa ya kikuda hii..Uchambuzi wa maombiView attachment 2232014
This is bongoKazi ishakuwa ya kikuda hii..
Wenye ajira watashiriki tumejifunza kwenye Anwani za makazi baadhi ya watu wa mtaani they don't careHivi kama WEO ,VEO wamesema wasishiriki hawa wenye ajira kama waalimu itakuwaje hawatawabadilikia hapo kiongozi ?
Kwahyo mtatukata sioWenye ajira watashiriki tumejifunza kwenye Anwani za makazi baadhi ya watu wa mtaani they don't care
Hizi kazi wapewe graduate tu, na wanatosha kabisa.Wenye ajira watashiriki tumejifunza kwenye Anwani za makazi baadhi ya watu wa mtaani they don't care
Sawa kamisa kamisaa wa sensa umeelwekaHizi kazi wapewe graduate tu, na wanatosha kabisa.
Kuanzia tarehe tatu na kundelea ndo mambo yataanza kuwa freshHadi sasa bila bila.
Mambo ya connection yapo palepale. Ila kwa kuwa nafasi ni nyingi, wapo wengi watakaopenya bila connection.Uchambuzi wa maombiView attachment 2232014
Mbona kujua ni rahisi tu, nenda kwenye website ya NBS, usipoikuta basi hiyo ya whatsapp ni feki.Naona kuna list inatembea kwenye magroup aseee. Je ndo yenyewe au tusubiri nyingine
Iweke hapa mkuu.Naona kuna list inatembea kwenye magroup aseee. Je ndo yenyewe au tusubiri nyingine
Jina lako lipo?Naona kuna list inatembea kwenye magroup aseee. Je ndo yenyewe au tusubiri nyingine
Hv ile issue ya kuhuisha jinsia ilikuaje, me leo ndo naingia tena kwenye account naikuta alafu inagoma msaada tafadhari kwa wanaofahamu kuhusu hilo