Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Sasa mchezo sindo umeisha yani jina likirudi nimemaliza maana hapo kata sina kipingamizi
 
Kata au wilaya......kwa wale waliopo dar es salaam majina yao yanaweza kuwa processed na kufanyiwa udahili kwenye kata zao kwasababu ya population yao ila wale Wa mikoani watafanyiwa kwenye halmashauri zao
 
Kamanda usitunge vitu hebu rejea kwenye tangazo lile halafu soma kwenye utangulizu.
 
Kata au wilaya......kwa wale waliopo dar es salaam majina yao yanaweza kuwa processed na kufanyiwa udahili kwenye kata zao kwasababu ya population yao ila wale Wa mikoani watafanyiwa kwenye halmashauri zao

Si walishasema kwamba wasimamizi wa tehama halmashaur na karani na wasimazi wa maudhui kwenye kata husika why mnajitungia tuuu
 
Kata au wilaya......kwa wale waliopo dar es salaam majina yao yanaweza kuwa processed na kufanyiwa udahili kwenye kata zao kwasababu ya population yao ila wale Wa mikoani watafanyiwa kwenye halmashauri zao
Sawa mkuu ngoja tuone yakitimia nitakuweka kwenye lile kundi la trusting source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…