smurof
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 103
- 293
Haya ndo mambo nayopenda mimi hayaaaLeo muda SI mrefu.. mambo hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndo mambo nayopenda mimi hayaaaLeo muda SI mrefu.. mambo hadharani
Sasa mchezo sindo umeisha yani jina likirudi nimemaliza maana hapo kata sina kipingamiziNgazi ya kata wataletewa majina 100 kutoka NBS kwa lengo la kufanya usahili ili wabaki 50.....Huu ni mfano wa itakavyokuwa na hizo fomu zilizobaki pale ofisini kwao hazina maana
Ndio maana majina yakitoka utayakuta kwenye tovuti yao na kwenye ofisi ya kata ulioomba kufanya hiyo kazi na watakupa tarehe ya kwenda kufanyiwa usahili katika kata/wilaya husika
Niamini Mimi mkuuHuu ni uhakika au unatabiri? [emoji23]
Unatabiri au uhakikaLeo muda SI mrefu.. mambo hadharani
Vip majina ni leo au tuendelee kuyasubiriaNiamini Mimi mkuu
Kata au wilaya......kwa wale waliopo dar es salaam majina yao yanaweza kuwa processed na kufanyiwa udahili kwenye kata zao kwasababu ya population yao ila wale Wa mikoani watafanyiwa kwenye halmashauri zaoSasa mchezo sindo umeisha yani jina likirudi nimemaliza maana hapo kata sina kipingamizi
Kamanda usitunge vitu hebu rejea kwenye tangazo lile halafu soma kwenye utangulizu.Kata au wilaya......kwa wale waliopo dar es salaam majina yao yanaweza kuwa processed na kufanyiwa udahili kwenye kata zao kwasababu ya population yao ila wale Wa mikoani watafanyiwa kwenye halmashauri zao
Kata au wilaya......kwa wale waliopo dar es salaam majina yao yanaweza kuwa processed na kufanyiwa udahili kwenye kata zao kwasababu ya population yao ila wale Wa mikoani watafanyiwa kwenye halmashauri zao
Wambie mzeeSi walishasema kwamba wasimamizi wa tehama halmashaur na karani na wasimazi wa maudhui kwenye kata husika why mnajitungia tuuu
Amini ninachokuelezaKamanda usitunge vitu hebu rejea kwenye tangazo lile halafu soma kwenye utangulizu.
Source: Trust Me SisterSi walishasema kwamba wasimamizi wa tehama halmashaur na karani na wasimazi wa maudhui kwenye kata husika why mnajitungia tuuu
Sawa mkuu ngoja tuone yakitimia nitakuweka kwenye lile kundi la trusting sourceKata au wilaya......kwa wale waliopo dar es salaam majina yao yanaweza kuwa processed na kufanyiwa udahili kwenye kata zao kwasababu ya population yao ila wale Wa mikoani watafanyiwa kwenye halmashauri zao
Hawa verified member nawaelewa sana ni watu wakubwa hawa Serikalini 😁😁. Usikute ndo ukweli kabisa huuNiamini Mimi mkuu
Huku tuko na watu wazito [emoji2]Hawa verified member nawaelewa sana ni watu wakubwa hawa Serikalini [emoji16][emoji16]. Usikute ndo ukweli kabisa huu
Hivi majina lini ?Source: Trust Me Sister
Mwisho wa wiki ijayoHivi majina lini ?
Yametoka saa ngp au ndoyale fekiMbona majina yalishatoka kitambo Sana jaman...View attachment 2249498
Mbona majina magumu hivi halafu sio majina ya bongo hayaMbona majina yalishatoka kitambo Sana jaman...View attachment 2249498
Acheni upotoshaji kwa vijana majina yata toka rasmi kupitia tovuti ya nbs haya unayo sema wew yame toka tuwekee source yake uliko yatoa sio kuleta habari za upotoshaji humuMbona majina yalishatoka kitambo Sana jaman...View attachment 2249498