Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Update ya nini hiyoView attachment 2251307
muda mrefu sijatembelea account yangu, kuna information nimetakiwa nifanye update ila nakutana na hii error
jinsiaUpdate ya nini hiyo
Imekula kwako mkuu😁😁😁😁jinsia
Walishafunga mfumo wa ku updatejinsia
Hazifunguki na usitishe watuTembeleeni account zenu za NBS....
Ukiona hivyo mtaani hapasomekiwatu roho juu utazani wameomba kazi BoT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karani, hatma yako anayo mtendaji wa kata na mtaa,usahili wako unafanywa kata.Sasa mchezo sindo umeisha yani jina likirudi nimemaliza maana hapo kata sina kipingamizi
Kwa mm nilivyosoma ni makarani pekee ndio usahili wafanyika kara.Si walishasema kwamba wasimamizi wa tehama halmashaur na karani na wasimazi wa maudhui kwenye kata husika why mnajitungia tuuu
Dah [emoji22] hii nchi tunalaana jamaniWalimu nao hawataki kupitwa.
Si ndo tunatafuta mitaji, hivii unaweza kufanya biashara bila ya kua na mtaji?Vijana mpaka tunatia aibu jamani ebu tutafute kazi za kufanya ndugu zangu, usione aibu kuuza hata mayai yakuchemsha
Utayamuuzia nyani ?Vijana mpaka tunatia aibu jamani ebu tutafute kazi za kufanya ndugu zangu, usione aibu kuuza hata mayai yakuchemsha
Hata hizi za sensa ni kazi za kufanya ndio maana vijana wametuma maombi yao.Vijana mpaka tunatia aibu jamani ebu tutafute kazi za kufanya ndugu zangu, usione aibu kuuza hata mayai yakuchemsha
tutafute tu mishe za kufanya kitaaUkiona hivyo mtaani hapasomeki