Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Yani vijana tuna mitelu sana hatuna subira ndomana tunaonekana wendawazimu sehemu flan
 
sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Nashangaa vijana wengine washaanza kuliwa mihela na watendaji wakati hata ruhusa kutoka NBS ya watendaji hao kufanya uchambuzi bado haijatoka.

Nyie vijana acheni mihemuko, watendaji wanasubiri majina kutoka nbs ya waliokamilisha vigezo vyote wakati wa kutuma maombi, then ndo wafanye rejea ya majina waliyo nayo ofisini kwao kwaajili ya kufanya uchambuzi wa maombi kutokana na idadi watakayo pangiwa kupitisha kutoka kwenye idadi ya majina waliyotumiwa kutoka nbs.

Unaweza ukaliwa 50k na mtendaji, ila nbs wakakula kichwa kwa kutokizi sifa na jina lako hata lisirudi ngazi ya kata kwajili ya rejea.
 
na inasikitisha sana kuona vijana wasomi wa form4+ wana akili ndogo kama std7 leavers, kiasi cha kukamliwa pesa kizembe na watendaji.

Kijana huna ajira, huna pesa bado unatoa pesa kupata ajira yenye pesa ndogo, ndo maana mnazaliwa na kufa masikini.
 
sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Mkuu hizo ni taarifa rasmi kutoka mahali rasmi au
 
Nashangaa vijana wengine washaanza kuliwa mihela na watendaji wakati hata ruhusa kutoka NBS ya watendaji hao kufanya uchambuzi bado haijatoka.

Nyie vijana acheni mihemuko, watendaji wanasubiri majina kutoka nbs ya waliokamilisha vigezo vyote wakati wa kutuma maombi, then ndo wafanye rejea ya majina waliyo nayo ofisini kwao kwaajili ya kufanya uchambuzi wa maombi kutokana na idadi watakayo pangiwa kupitisha kutoka kwenye idadi ya majina waliyotumiwa kutoka nbs.

Unaweza ukaliwa 50k na mtendaji, ila nbs wakakula kichwa kwa kutokizi sifa na jina lako hata lisirudi ngazi ya kata kwajili ya rejea.
Ambao hatukurudisha form kata tunapigwa na kitu kizito
 
Back
Top Bottom