Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022


muda mrefu sijatembelea account yangu, kuna information nimetakiwa nifanye update ila nakutana na hii error
 
Si walishasema kwamba wasimamizi wa tehama halmashaur na karani na wasimazi wa maudhui kwenye kata husika why mnajitungia tuuu
Kwa mm nilivyosoma ni makarani pekee ndio usahili wafanyika kara.
Wasimamizi ni halmashauri.
Ndii chanzo cha watu weng kuomba ukarani maana halmashauri pagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…