[emoji23][emoji23] tumekwisha bora ningeomba usimamiziKarani,hatma yako anayo mtendaji wa kata na mtaa,usahili wako unafanywa kata.
Huna hata elfu 50 umpigishe akupitishe[emoji23][emoji23] tumekwisha bora ningeomba usimamizi
Unakuta unampa iyo elfu 50 na bado atakupiga na kitu kizitoHuna hata elfu 50 umpigishe akupitishe
Mtendaji nilikuwa na ugomvi naye kuhusu mwanamke ana wivu wa ajabu na hapendwi[emoji23][emoji23] tumekwisha bora ningeomba usimamizi
Usithubutu kutoa pesaUnakuta unampa iyo elfu 50 na bado atakupiga na kitu kizito
Vaa helmet kichwani mkuuUnakuta unampa iyo elfu 50 na bado atakupiga na kitu kizito
We unaetuambia haya cha ajabu tuko na wewe kwenye hizi nyuzi za kusaka ajira [emoji1787][emoji1787]Vijana mpaka tunatia aibu jamani ebu tutafute kazi za kufanya ndugu zangu, usione aibu kuuza hata mayai yakuchemsha
nikopeshe basi mkuu nikipata nikurudishie 60Huna hata elfu 50 umpigishe akupitishe
ndo ishakula iyo [emoji23]Mtendaji nilikuwa na ugomvi naye kuhusu mwanamke ana wivu wa ajabu na hapendwi
Kwani ukidanganya unapata nini,zaidi ya vidhambi vidovidogo?Mzigo umeshaachiwa huko, angalia account zenu
usishtuke mkuu huku kuna mdogo wengine under 18 kabisa na wengine wakubwa ila wana akili za form 1.Kwani ukidanganya unapata nini,zaidi ya vidhambi vidovidogo?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Yani vijana tuna mitelu sana hatuna subira ndomana tunaonekana wendawazimu sehemu flansensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Nashangaa vijana wengine washaanza kuliwa mihela na watendaji wakati hata ruhusa kutoka NBS ya watendaji hao kufanya uchambuzi bado haijatoka.sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Mkuu hizo ni taarifa rasmi kutoka mahali rasmi ausensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Ambao hatukurudisha form kata tunapigwa na kitu kizitoNashangaa vijana wengine washaanza kuliwa mihela na watendaji wakati hata ruhusa kutoka NBS ya watendaji hao kufanya uchambuzi bado haijatoka.
Nyie vijana acheni mihemuko, watendaji wanasubiri majina kutoka nbs ya waliokamilisha vigezo vyote wakati wa kutuma maombi, then ndo wafanye rejea ya majina waliyo nayo ofisini kwao kwaajili ya kufanya uchambuzi wa maombi kutokana na idadi watakayo pangiwa kupitisha kutoka kwenye idadi ya majina waliyotumiwa kutoka nbs.
Unaweza ukaliwa 50k na mtendaji, ila nbs wakakula kichwa kwa kutokizi sifa na jina lako hata lisirudi ngazi ya kata kwajili ya rejea.
Hakuna mantiki ya kurudisha form ofisi za kataAmbao hatukurudisha form kata tunapigwa na kitu kizito
Peleka hata saiv jombaa wataipokeaAmbao hatukurudisha form kata tunapigwa na kitu kizito