mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Yani inamaanisha aliekuwa anatoaga siri mr kigogo toka aunge juhudi habari za chini ya kapeti hatuzipati Tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halijui mama ako..Basi itakua una matatizo ya akili kama ulidhani pesa yote iliyotengwa b 600 ni kwa ajili ya kulipa makarani na wasimamizi pekee bila kuhusisha shughuli zingine zinazohusu sensa.Yani miwalimu ya nchi hii imejaa shida na roho mbaya hasa zinapotokea nafasi kama hizi ambazo vijana wasakatonge wanazihitaji ili wajikwamue kimaisha..Jamaa halijui kuwa pesa iliyotengwa kwaajili ya sensa inajumuisha manunuzi ya tablet kwaajili ya makarani pia kuna ile 10% ya mtoa zabuni
ila kweli ngoja niamkeMkuu amka toka kwenye usingizi mzito
Hahahaaa...povu kama lote, kweli watu wana hasira, msamehe bure mkuu.halijui mama ako..Basi itakua una matatizo ya akili kama ulidhani pesa yote iliyotengwa b 600 ni kwa ajili ya kulipa makarani na wasimamizi pekee bila kuhusisha shughuli zingine zinazohusu sensa.Yani miwalimu ya nchi hii imejaa shida na roho mbaya hasa zinapotokea nafasi kama hizi ambazo vijana wasakatonge wanazihitaji ili wajikwamue kimaisha..
Usiwe unakurupuka kujibu quote ya mtu bila kuelewa amemaanisha nini.Nyie ndio wale mnaoanzisha nyuzi humu mfululizo kutaka ajira za muda za makarani na wasimamizi mpewe walimu pekee bila kuwafikiria vijana waliokaa mtaa miaka zaidi ya 10 wakisubiri ajira na hawana pesa ya mtaji,acheni roho mbaya hii nchi ni yetu sote
Mi hata wakinipa laki 3 ntafanya kazi kwa bidii sana.Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
Na jobless nao wasemejeJamani wacheni walimu nao wapate hivi vidili nao maisha yanawapiga tumshahara wanachopata ni kiduchu mno... Wanabangaiza
Msione kama wanapata huko walipo hali zao ni mbaya mnoooo wananuka njaa.
Hiyo nayo hata mimi nimesikia siyo Mahudhui tu hata Makarani wasaidizi wengi watakuwa watumishi..tuisikimbie na Tablet zaoulifanya kama karani au Maudhui,, maana Nimesikia Nafasi ya Maudhui wanapata Watumishi wa serikali
Watu wakikosa uzi utapoa sanaInaonekana siku majina yakitoka humu ndani kitawaka moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Utaliwa weweTulieni jamani umu jf wote tumeliwa vichwa maana ni wajuaji balaa
Kitaumana siku hiyo😂😂😂Inaonekana siku majina yakitoka humu ndani kitawaka moto [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Utaliwa wewe
Vijana washapanga wakipata hela wanakuwa macmuga
Kama nawaona vile itakuwa ni mwendo wa dompo or black ñ white kvant tupa kule...😤😤😤😤Utaliwa wewe
Vijana washapanga wakipata hela wanakuwa macmuga
😁😁😁😁Inaonekana siku majina yakitoka humu ndani kitawaka moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh na hawakusema kwenye requirements/qualificationsulifanya kama karani au Maudhui,, maana Nimesikia Nafasi ya Maudhui wanapata Watumishi wa serikali