Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Walimu wanaendekeza sana njaa, mbona watumishi wengine wamekausha tu??
Ndio wanaotumika mara nyingi kwenye kazi kama hizo..refer uchaguzi..halafu ni rahisi kuwapata ikitokea wakiharibu..sasa wewe tukikupa laki tano kabla then uende ukafanye kazi yetu si ajabu ukatokomea mazima..bado mna ujana sana..sio kwamba nawatetea walimu hapana!
 
Wakuu wa shule na walimu wakuu jana ijumaa wameagizwa kutuma majina ya walimu wote iwe wameomba au hawajaomba kazi ya sensa...majina yote yatumwe halmashauri...imetokea Meru DC
Kila halmashauri wana utaratibu wao.
Wengine wamesema waliofanya kazi ya anuani za makazi ndio watakaofanya na sensa.
Wakidai kuwa wamefanya kazi kubwa.
 
Penye wengi Kuna mengi, kwenye swala la pesa kila mtu ataongea lake ili ajipromote yeye nahuu ubinafsi ndounaacha tuwe masikini wakutupwa hususani sisi daraja lachini including hii Mialimu inanuka njaa kali na ndio maana mshahara ukitoka tu yenyewe ndoinaleta foleni kwenye benki utakuta imejazana michafu nguo ndohizohizo yani makerere tupu.
 
Boss unapiga za koromeo balaa , watupie taulo.
 
Ndio wanaotumika mara nyingi kwenye kazi kama hizo..refer uchaguzi..halafu ni rahisi kuwapata ikitokea wakiharibu..sasa wewe tukikupa laki tano kabla then uende ukafanye kazi yetu si ajabu ukatokomea mazima..bado mna ujana sana..sio kwamba nawatetea walimu hapana!
We utakuwa ni mwalimu tu

Ndio maana huu uzi unanuka Chaki na majasho
 
Penye wengi Kuna mengi, kwenye swala la pesa kila mtu ataongea lake ili ajipromote yeye nahuu ubinafsi ndounaacha tuwe masikini wakutupwa hususani sisi daraja lachini including hii Mialimu inanuka njaa kali na ndio maana mshahara ukitoka tu yenyewe ndoinaleta foleni kwenye benki utakuta imejazana michafu nguo ndohizohizo yani makerere tupu.
Kwani walimu wamekukosea nini?
 
Yani kuna watu humu wanawashwa washwa wakivimbiwa tu kande wanakuja kutoa maushuzi yao humu..Hili zoezi ni la wazi hakuna janja janja mpaka taarifa rasmi itakapotoka ndio mengine huko katani na wilayani yataendelea,.

Ila sio mtu anatoka tu huko mara kuna watu wamepigiwa simu jana jioni mara kuna kikundi cha watu kimeanza semina leo asubuhi,mara kuna walimu Meru wameambiwa watume majina wilayani..Walimu tulizeni mshono mpaka NBS watoe taarifa rasmi acheni porojo kesho muwahi saa 11 asubuhi kuhesabisha namba na baridi hii,msiwape sonona ma jobless.
 
Back
Top Bottom