Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
Mkuu ni 35k kwa siku ambayo utalipwa siku ukiwa kwenye Yale mafunzo ya siku 21 na sio hii 350k Kama ulivyoandika.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Yani kuna watu humu wanawashwa washwa wakivimbiwa tu kande wanakuja kutoa maushuzi yao humu..Hili zoezi ni la wazi hakuna janja janja mpaka taarifa rasmi itakapotoka ndio mengine huko katani na wilayani yataendelea,.

Ila sio mtu anatoka tu huko mara kuna watu wamepigiwa simu jana jioni mara kuna kikundi cha watu kimeanza semina leo asubuhi,mara kuna walimu Meru wameambiwa watume majina wilayani..Walimu tulizeni mshono mpaka NBS watoe taarifa rasmi acheni porojo kesho muwahi saa 11 asubuhi kuhesabisha namba na baridi hii,msiwape sonona ma jobless.
Walimu wametuharibia hii nchi


Wao ndio walisimama uchaguzi
 
sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Mkuu acha uongo sema huna Taarifa Rasmi majina yatatokaje hapo na hapo uende kwenye mafunzo ya siku 21 kabla ya kufanyiwa usaili wa mtu na mtu ili kukutambua....????
Mimi navyojua majina yatawahi kutoka nadhani mwezi huu ili watu wafanyiwe usaili kabla ya hiyo tarehe 15 uliyosema.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ndio wanaotumika mara nyingi kwenye kazi kama hizo..refer uchaguzi..halafu ni rahisi kuwapata ikitokea wakiharibu..sasa wewe tukikupa laki tano kabla then uende ukafanye kazi yetu si ajabu ukatokomea mazima..bado mna ujana sana..sio kwamba nawatetea walimu hapana!
Binafsi hiki kiajirq changu, sina tamaa kabisa na hizi kazi ambazo graduate kibao wanaweza kufanya kwa ufanisi.

Kuhusu kuwapata haina maana yoyote, hao wadhamini waliwekwa kwa sababu gani.
 
Mkuu acha uongo sema huna Taarifa Rasmi majina yatatokaje hapo na hapo uende kwenye mafunzo ya siku 21 kabla ya kufanyiwa usaili wa mtu na mtu ili kukutambua....????
Mimi navyojua majina yatawahi kutoka nadhani mwezi huu ili watu wafanyiwe usaili kabla ya hiyo tarehe 15 uliyosema.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yatoke mapema tuelewe mbivu na mbichi mapema ,ili wengine kama tunakosa tuendelee kujichanganya na mambo mengine
 
Bada ya kumsikia Mwigulu akijibi swali Bungeni la ni watu gani ambao wanakwenda kuwatumia kwenye Sensa akajibu ni walimu na baadhi ya wasomi waliopo kwenye kata nikajua kishaumana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ohoooo
 
Walimu wanaendekeza sana njaa, mbona watumishi wengine wamekausha tu??
Nao wameomba ila wapo cool tu, hawana mdomo mdomo kama maticha.

Shida ni kwamba maticha wamejimilikisha hizi deal na kuona kwamba wao ndio wanastahili kuliko wengine.

by the way waachieni walimu wafanye hizi kazi maana wao Wana maadili ya kazi kuliko majobu lesi.
 
Back
Top Bottom