Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Patachimbika [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Patachimbika [emoji3]
Washaanza Mambo yao ya ajabuWeka huo mkekaa
[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji119]Mliomba Sensa,mkeka tayari
SafiiNdugu zangu, Tareh 10 mwezi wa 7 majina yatakua teyarii kwenu... Tuwe na subira.. Bado tupo iringa kwenye vikao.
Vipi na huu uzushi kuwa watachukuliwa walimu tu ni kweli ?Ndugu zangu, Tareh 10 mwezi wa 7 majina yatakua teyarii kwenu... Tuwe na subira.. Bado tupo iringa kwenye vikao.
Sio kweli kaka.. Anaitajika mtu ambae anajua kutumia tablet tu... Na kujaza haya madodoso... Kuandika namaanisha... Hivyo tu.. Maana kazi atakua anapata maelekezo kwa wasimamizi.. Na semina itawasaidia pia.Vipi na huu uzushi kuwa watachukuliwa walimu tu ni kweli ?
Poa shukran kwa info .Sio kweli kaka.. Anaitajika mtu ambae anajua kutumia tablet tu... Na kujaza haya madodoso... Kuandika namaanisha... Hivyo tu.. Maana kazi atakua anapata maelekezo kwa wasimamizi.. Na semina itawasaidia pia.
Anaejua haya mambo ni mtumishi kutoka NBS tu, periodNdugu zangu, Tareh 10 mwezi wa 7 majina yatakua teyarii kwenu... Tuwe na subira.. Bado tupo iringa kwenye vikao.
Ukitaka tuamini tuma picha ya kikaoNdugu zangu, Tareh 10 mwezi wa 7 majina yatakua teyarii kwenu... Tuwe na subira.. Bado tupo iringa kwenye vikao.
Hapo kwa watendaji hapo ndo mziki unapoanzia!!!Poa shukran kwa info .
Kwenye interview watendaji watatifanyia usahili ?
Umegombana na mtendaji nn?Hapo kwa watendaji hapo ndo mziki unapoanzia!!!
Mbn hayafungukiMajina mbona yametoka janaView attachment 2259864
Daaah wale jamaa ni balaa tupu hebu tuone😕😕Umegombana na mtendaji nn?
Aisee kweli bhana mje mangalore hapaMajina mbona yametoka janaView attachment 2259864
Mjomba unatumia itel nini mbona majina yanafunguka wepesi kabisaMbn hayafunguki