Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mpaka sasa ngoma 0-0
Screenshot_20220613-113426.jpg
 
Mbona idadi waliohitaji ni kubwa alafu majina waliotoa ni machache
Majina yakitoka utayakuta kwenye tovuti punguza kimuemue mkuu

Haya ni majina ya Rita wame edit Halafu hio list iliwafanya NBS mpka kipindi kile wapinge na walionya watu wasisambaze
 
Hahaha huo mkeka wa kutunga majina bado nimeufuatilia kwa kina, kuhusu simu nichangie boss ni kweli natumia tecno
Mkeka utawekwa kwenye tovuti so we ukiskia mtu kakwambia majina yametoka na ukicheki kwenye tovuti hamna huyo muongo kwanza yakitoka yatakuwa na vishindo utajua tu hayana mbwembwe [emoji3]
 
Kuna umuhimu wa kutoa majina mapema hata kama semina itachelewa kwani wengine safari zetu za nje ya nchi tumeghairisha tukisikilizia huu mchongo ilibidi mida hii niwe UK napiga madili.
Wazee wa kuhack mchongo mwaisa!!
Wanataka kuchana mkeka😤😤
 
Shule zitafungwa july 28, ndipo semina zitaanza na nguv kaz ni maticha ndo maana mihula walibadili.

Wenye bifu na walimu endeleeni kuchukia, na tukitoka semina tunafunga baa zote.
Ni kweli usemayo ticha. Maticha ni nguvu kazi (cheap labour) ya kazi nyingi za serikali. Ulishawahi ona serikali iki chukua watumishi labda wa TRA, mahakama, afya au hata jeshi lolote kwa kazi za vibarua(temporary work)?
 
😁😁😁 wewe mkuu ni Kapuku tu kama sisi wengine.. Sasa una hela mpaka za kwenda nje kwenye madili kwa nn uhangaike na vipesa vidogo vya sensa.. 🤣🤣🤣 JF ni Raha sana
Kuna umuhimu wa kutoa majina mapema hata kama semina itachelewa kwani wengine safari zetu za nje ya nchi tumeghairisha tukisikilizia huu mchongo ilibidi mida hii niwe UK napiga madili.
Puku
 
😁😁😁 wewe mkuu ni Kapuku tu kama sisi wengine.. Sasa una hela mpaka za kwenda nje kwenye madili kwa nn uhangaike na vipesa vidogo vya sensa.. 🤣🤣🤣 JF ni Raha sana
Puku
Ni uzalendo tu , naipenda sana inchi yangu hivyo najisikia vibaya kuacha nafasi ya kutumika taifa ndio maana nataka nitumie hii kama nafasi ya mwisho ninaweza kunogewa na maisha ya ughaibuni nikakosa nafasi ya kurudi hata kusalimia.
 
Fool
 
Ni kweli usemayo ticha. Maticha ni nguvu kazi (cheap labour) ya kazi nyingi za serikali. Ulishawahi ona serikali iki chukua watumishi labda wa TRA, mahakama, afya au hata jeshi lolote kwa kazi za vibarua(temporary work)?
JPM alitumia jeshi kwenye korosho,,,,una lingine
 
Back
Top Bottom