Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Sasa kama ni hivyo watu 3 wagombea nafasi moja hapa pia ni sehemu moja wapo ya kujipima kama una bahati ..!
 
Kijijini watu wameomba wengi pia hasa walioomba dk za mwisho walishtukia mchezo wakapakimbia mjini
Mfumo haukuwa unaruhusu mtu kujisajili mara 2. This was due to the fact that, it was the same credentials which were used to apply.
 
Ni uzalendo tu , naipenda sana inchi yangu hivyo najisikia vibaya kuacha nafasi ya kutumika taifa ndio maana nataka nitumie hii kama nafasi ya mwisho ninaweza kunogewa na maisha ya ughaibuni nikakosa nafasi ya kurudi hata kusalimia.
Tupeane mchongo basi ya ughaibuni mkuu
 
huko kijijin ndo balaa afadhali ya mjini
Inategemeana na sehemu.kuna vijiji watu wameomba wachache na wengi walioomba ni wafanyakazi.Vijana wengi waliomaliza form 4 huku vijijini waliokosa sifa zifuatazo haswa huku kwetu(usiuulize wapi)
1. Hawana kadi ya nida au namba ya nida
2. cheti cha form 4
3.cheti cha kuzaliwa.

Jamani Tz kuna sehemu ni kijijini kweli kweli sio mchezo
 
ni kweli ila ukikuta kijiji kina walimu wengi, maana walimu kijjn wanaheshimika sana kwakwelli kijijin
 
Back
Top Bottom