Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Jamaa pambafu kweli nilikuwa natumia Freebasic nikatoa kahela changu cha akiba kuweka bando nicheki mkeka fasta kumbe hola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wajumbe mnakodolea izo position ? Aisee the Almighty God stands before Us
 
Jamaa pambafu kweli nilikuwa natumia Freebasic nikatoa kahela changu cha akiba kuweka bando nicheki mkeka fasta kumbe hola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Mkuu siku ukiona komenti yangu imesema majina tayari ujue tayari kweli na nitakuwa around [emoji3]
 
Jamaa pambafu kweli nilikuwa natumia Freebasic nikatoa kahela changu cha akiba kuweka bando nicheki mkeka fasta kumbe hola 😂😂😂😆
Hela ya ticket ya ndege imenunua bando😅😅
 
Kumbe wajumbe mnakodolea izo position ? Aisee the Almighty God stands before Us
Wajumbe hawana mishahara, wanaishi kwa issue kama hizi, migogoro, ardhi etc. Hadi kwenye postcode, wajumbe walipewa nafasi za upendeleo
 
halijui mama ako..Basi itakua una matatizo ya akili kama ulidhani pesa yote iliyotengwa b 600 ni kwa ajili ya kulipa makarani na wasimamizi pekee bila kuhusisha shughuli zingine zinazohusu sensa.Yani miwalimu ya nchi hii imejaa shida na roho mbaya hasa zinapotokea nafasi kama hizi ambazo vijana wasakatonge wanazihitaji ili wajikwamue kimaisha..

Usiwe unakurupuka kujibu quote ya mtu bila kuelewa amemaanisha nini.Nyie ndio wale mnaoanzisha nyuzi humu mfululizo kutaka ajira za muda za makarani na wasimamizi mpewe walimu pekee bila kuwafikiria vijana waliokaa mtaa miaka zaidi ya 10 wakisubiri ajira na hawana pesa ya mtaji,acheni roho mbaya hii nchi ni yetu sote
Acha roho mbaya na wewe mzee

Makasiko yako makubwa sana duuuh kisa hela za sensa [emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom