Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Uzi pendwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi bro unataka connection?Fool
HahahahaUzi pendwa..
Ivi tumeomba wangapi mwenye kujua tafadhali
Nataka nipige hesabu nione nafasi moja inagombewa na watu wangap
😁😁😁 wewe mkuu ni Kapuku tu kama sisi wengine.. Sasa una hela mpaka za kwenda nje kwenye madili kwa nn uhangaike na vipesa vidogo vya sensa.. 🤣🤣🤣 JF ni Raha sana
Puku
Mshahara ni sh ngapi mkuu samahanTumeomba 500k+ wanahitaji watu 200k
Kwa maeneo ya vijijini ratio ni nafasi 1 kwa watu wawili au nafasi moja kwa mtu mmoja.Sasa kama ni hivyo watu 3 wagombea nafasi moja hapa pia ni sehemu moja wapo ya kujipima kama una bahati ..!
Kijijini watu wameomba wengi pia hasa walioomba dk za mwisho walishtukia mchezo wakapakimbia mjiniKwa maeneo ya vijijini ratio ni nafasi 1 kwa watu wawili au nafasi moja kwa mtu mmoja.
Unataka kusemaje kwa tulioomba mjini[emoji56]Kijijini watu wameomba wengi pia hasa walioomba dk za mwisho walishtukia mchezo wakapakimbia mjini
Mfumo haukuwa unaruhusu mtu kujisajili mara 2. This was due to the fact that, it was the same credentials which were used to apply.Kijijini watu wameomba wengi pia hasa walioomba dk za mwisho walishtukia mchezo wakapakimbia mjini
huko kijijin ndo balaa afadhali ya mjiniKijijini watu wameomba wengi pia hasa walioomba dk za mwisho walishtukia mchezo wakapakimbia mjini
Tupeane mchongo basi ya ughaibuni mkuuNi uzalendo tu , naipenda sana inchi yangu hivyo najisikia vibaya kuacha nafasi ya kutumika taifa ndio maana nataka nitumie hii kama nafasi ya mwisho ninaweza kunogewa na maisha ya ughaibuni nikakosa nafasi ya kurudi hata kusalimia.
Inategemeana na sehemu.kuna vijiji watu wameomba wachache na wengi walioomba ni wafanyakazi.Vijana wengi waliomaliza form 4 huku vijijini waliokosa sifa zifuatazo haswa huku kwetu(usiuulize wapi)huko kijijin ndo balaa afadhali ya mjini
ni kweli ila ukikuta kijiji kina walimu wengi, maana walimu kijjn wanaheshimika sana kwakwelli kijijinInategemeana na sehemu.kuna vijiji watu wameomba wachache na wengi walioomba ni wafanyakazi.Vijana wengi waliomaliza form 4 huku vijijini waliokosa sifa zifuatazo haswa huku kwetu(usiuulize wapi)
1. Hawana kadi ya nida au namba ya nida
2. cheti cha form 4
3.cheti cha kuzaliwa.
Jamani Tz kuna sehemu ni kijijini kweli kweli sio mchezo
Unauliza au unatoa taarifa ?Wametoa majina
Nauliza mwal.Unauliza au unatoa taarifa ?