Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Yani inamaanisha aliekuwa anatoaga siri mr kigogo toka aunge juhudi habari za chini ya kapeti hatuzipati Tena
 
Jamaa halijui kuwa pesa iliyotengwa kwaajili ya sensa inajumuisha manunuzi ya tablet kwaajili ya makarani pia kuna ile 10% ya mtoa zabuni
halijui mama ako..Basi itakua una matatizo ya akili kama ulidhani pesa yote iliyotengwa b 600 ni kwa ajili ya kulipa makarani na wasimamizi pekee bila kuhusisha shughuli zingine zinazohusu sensa.Yani miwalimu ya nchi hii imejaa shida na roho mbaya hasa zinapotokea nafasi kama hizi ambazo vijana wasakatonge wanazihitaji ili wajikwamue kimaisha..

Usiwe unakurupuka kujibu quote ya mtu bila kuelewa amemaanisha nini.Nyie ndio wale mnaoanzisha nyuzi humu mfululizo kutaka ajira za muda za makarani na wasimamizi mpewe walimu pekee bila kuwafikiria vijana waliokaa mtaa miaka zaidi ya 10 wakisubiri ajira na hawana pesa ya mtaji,acheni roho mbaya hii nchi ni yetu sote
 
Hahahaaa...povu kama lote, kweli watu wana hasira, msamehe bure mkuu.
 
Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
Mi hata wakinipa laki 3 ntafanya kazi kwa bidii sana.


msoto wa miaka mitano si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…