Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kuna umuhimu wa kutoa majina mapema hata kama semina itachelewa kwani wengine safari zetu za nje ya nchi tumeghairisha tukisikilizia huu mchongo ilibidi mida hii niwe UK napiga madili.
Sepa tu it's worth it mkuu
 
Kumbe Tanzania hii kuna vijana wa hovyo kabisa majina ya sensa yamebandikwa toka jana katika ofice za selikali ya mitaa
 
Sensa ni tarehe 23 August.
-Zoezi zima la semina elekezi itachukua kama siku 21.
-Kusambaza vishkwambi kama siku 5
-Ukaguzi siku 3
- Vikao vya ndani siku 5
-Kupangwa/ku survey maeneo/kusaini form za mkataba kama siku 3 hadi 5.
-Majibu baada ya usahili siku 3 mpaka 5.
-Siku 7 hadi 10 za kujiandaa kabla ya usahili.
-Usahili siku 1


NB: Ni makadirio kwa uzoefu na siyo kwamba ndo ratiba
23-21+(31)-5-3-5-5-5+(30)-10-1=29±3
(26Jun hadi 02July)
 
Sasa kila mtu anataka hii kazi tu, wengine subirini kuhesabiwa tu jamani duh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…