Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wale wenye F ya Basic Mathematics Form 4 mjiandae kisaikolojia
Tena watu waliopasi vizuri Civics , History na Geography ndio inabidi wapewe kipaumbele kuliko wa Math maana kule hakuna calculations bali kuwa polite , kucheza na saikolojia ya watu na kuwa na uwezo mzuri wa kujielezea , uelewa wa mambo , kuhoji na kuweka vitu bayana.
 
Sema we mwamba una hatari[emoji109][emoji109]
 
Next week mpaka kufikia WEDNESDAY mambo yote yatakuwa Hadharani..hii ni pamoja na Ajira za Waalimu na Afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…