Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wale wenye F ya Basic Mathematics Form 4 mjiandae kisaikolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje Wewe na mimi tusubiri kuhesabiwa tuziache hizi kazi au unasemaje mkuu ?Sasa kila mtu anataka hii kazi tu, wengine subirini kuhesabiwa tu jamani duh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tena watu waliopasi vizuri Civics , History na Geography ndio inabidi wapewe kipaumbele kuliko wa Math maana kule hakuna calculations bali kuwa polite , kucheza na saikolojia ya watu na kuwa na uwezo mzuri wa kujielezea , uelewa wa mambo , kuhoji na kuweka vitu bayana.Wale wenye F ya Basic Mathematics Form 4 mjiandae kisaikolojia
Mm mbona nilishasema kitambo tu wasinichagueUnaonaje Wewe na mimi tusubiri kuhesabiwa tuziache hizi kazi au unasemaje mkuu ?
Ila uliomba...!Mm mbona nilishasema kitambo tu wasinichague
Wiki ijayo?Msikae mbali na maeneo yenu mliyoomba week ijayo kuna jambo
Sema we mwamba una hatari[emoji109][emoji109]Sensa ni tarehe 23 August.
-Zoezi zima la semina elekezi itachukua kama siku 21.
-Kusambaza vishkwambi kama siku 5
-Ukaguzi siku 3
- Vikao vya ndani siku 5
-Kupangwa/ku survey maeneo/kusaini form za mkataba kama siku 3 hadi 5.
-Majibu baada ya usahili siku 3 mpaka 5.
-Siku 7 hadi 10 za kujiandaa kabla ya usahili.
-Usahili siku 1
NB: Ni makadirio kwa uzoefu na siyo kwamba ndo ratiba
23-21+(31)-5-3-5-5-5+(30)-10-1=29±3
(26Jun hadi 02July)
Huu uzi una hatariKuanzia hapo mkeka unaweza kutokaView attachment 2264390
Ramli....Amini amini nawaambia haita Isha week kuanzia leo majina yatakua mtandaoni,[emoji505]
Sio ramli...! sureRamli....
Kesho itakuwa on airNext week mpaka kufikia WEDNESDAY mambo yote yatakuwa Hadharani..hii ni pamoja na Ajira za Waalimu na Afya.
Yap Next week ndo kesho...Kesho itakuwa on air
20/06/2022
TAWILEEEMjiandae Next week nadhani haitapita
Tufanye maandalizi gani ?Mjiandae Next week nadhani haitapita